Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Salaam, shalom!! Utafiti mdogo niliofanya unasema, mnyama huyu nguruwe, akizaa watoto, ukichelewa kuwaondoa, aweza kuwala wote pasi huruma, Kuna wanyama na ndege walioumbwa wakiwa na utindio...
4 Reactions
168 Replies
2K Views
Ifahamike kwamba mpaka sasa ni nchi mbili tu duniani zilizo tengeneza makombora hayo yaani Urusi na China. Marekani alijaribu mara zaidi ya mbili lakini akafeli! Je ni kwamba USA anazidia uwezo...
3 Reactions
87 Replies
4K Views
Wanajamvi Leo nimekuja, mwenzenu yamenifika shingoni Nina miaka mitatu tangu nimeingi kwenye uchimbaji wa madini huku chunya mbeya, Nimamiliki karasha, nimeshapoteza zaidi ya milioni 40 katika...
11 Reactions
188 Replies
2K Views
Wakuu na wataalam hawa haya maswala, inakuaje gari ni mpya toleo la karibuni lakini namba ya usajili unakuta ni ya mwaka 2001 huko. Naombeni mnijuze
0 Reactions
20 Replies
274 Views
Nukuu: Nimekuwa verified member wa JamiiForums tangu zamani, pia malezi ya chama changu yamenifanya nipende mjadala. Nimefurahi kuja kuwaona, sikuwahi kujua nyie ni wakubwa kiasi hiki. Nimeona...
28 Reactions
128 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu Kwa majina naitwa mwamimi shafii naishi Arusha Umri 21 Jinsia :KE Elimu: four ila nilifeli nilipata leaving tu Baba yangu alifariki mama yangu yupo Msaada wenu wakupata...
3 Reactions
17 Replies
110 Views
08 May 2024 MBOWE YAMSHINDA AMPINGA PROF. PALAMAGAMBA KABUDI MBELE YA HALAIKI ''HATUWEZI JADILI MAMBO YALE YALE KWA MIAKA 30''.... Freeman Mbowe amejikita katika chaguzi 6 zilizopita na...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Kabla ya kuanza kutuingiza wananchi kwenye kutumia nishati safi serikali ingejikita kwanza kwenye maisha ya watumiaji na mapishi yao, pia mpango huo usingefanywa kibiashara zaidi, ungezingatia...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kabla ya yote natanguliza ombi Maalum, kwamba kama Taarifa hii si ya kweli iondolewe hapa mara moja. Lakini kama ni ya kweli ijadiliwe ili tufahamu malengo yake, yaweza kuwa malengo mazuri tu...
3 Reactions
52 Replies
1K Views
Habari 1. Wengine wanasema kuna Mungu Baba, mwana na roho mtakatifu 2. Wengine wanasema Mungu mmoja 3. Wengine nasikia wanasema ana nafsi tatu Na je kama ana nafsi tatu kwa nini munamuabudu...
6 Reactions
128 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,852,619
Posts
49,577,687
Back
Top Bottom