Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimeona nije nipate michango ya wanajamvi kutokana na kwamba jukwaa hili Lina wasomi na madaktari wengi. Kwasasa vijana wengi tumeangukia kwenye wimbi la kujipima na Kula tunda kavu, ata huko...
3 Reactions
54 Replies
382 Views
Humu unaweza kujitoa mwenyewe sadaka au kumtoa mwingine wa Karibu. Ila kikubwa ni kiapo Cha damu kisha unakabidhi nafsi.
1 Reactions
27 Replies
255 Views
Mama kwa heshima kubwa nakuomba useme NENO ULILOHAIDI.MUDA UNAENDA NA UCHAGUZI HAUPO MBALI.KAZI NJEMA MAMA.
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wachina, Wakongo, wake ya, wanigeria na wazambia wamekuwa wengi sana soko la Kariakoo. Wachina wanapoingia kwenye umachinga maana yake uchuuzi umekuwa kipaombele cha soko Tanzania. Lakini uchuuzi...
4 Reactions
14 Replies
361 Views
08 May 2024 MBOWE YAMSHINDA AMPINGA PROF. PALAMAGAMBA KABUDI MBELE YA HALAIKI ''HATUWEZI JADILI MAMBO YALE YALE KWA MIAKA 30''.... https://m.youtube.com/watch?v=F1t-R5jykUY
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Jamani kwalioolewa ndoa zao zipoje?? Mnashea mabwana kama mie?? Unajisikiaje unamjua mchepuko wa mumeo na huna chakumfanya
2 Reactions
6 Replies
7 Views
Historia mwalimu mzuri, baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, kiongozi mkuu wa kitaifa aliyeenda kumpa pole ni mzanzibari, leo anatembea huku na kule akimtukana. Tundu Lissu alimkimbia...
6 Reactions
50 Replies
815 Views
Ni wazi Viongozi wa Chadema wanaenda KUKIPASUA CHAMA Chao Mapande Mapande kutokana na kujaa Uroho na Tamaa ya Kutaka Urais.Mbowe anautaka Urais na Lissu anautaka Urais. Kutokana na Kushindwa...
2 Reactions
36 Replies
552 Views
Chuo gani tanzania kinatoa optometry ngazi ya degree?
0 Reactions
6 Replies
333 Views
Kama ni Habari ya Tanganyika rip mchungaji Mtikila alipeperusha hadi bendera nyumbani kwake pale Ilala na ilikuwa Kawaida tu Kama ni Muungano Maalim Seif rip alijitahidi kuuboresha na Shujaa...
0 Reactions
9 Replies
87 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,315
Posts
49,599,965
Back
Top Bottom