Salaam,shalom,
Mvua kubwa zilizonyesha nchini zimeanza kuleta madhara makubwa Kwa nyumba na makazi ya watu waishio kandokando mwa ziwa Hilo.
Imeripotiwa kuwa, kaya zaidi ya 400 hazina makazi...
Eti mbunge huyo wa Bunda vijijini Boniface Mwita Getere anasema wanachuo wasipewe boom kwani wanafunzi wanaopewa boom hawana nidhamu, niwalevi, na hawasomi.
Anadai eti walipiwe karo tu kuhusu...
Hi mimi ni dada, natafuta marafiki wa ku chat nao siishi TZ na kuna muda na tu unatamani tu kupata wa nyumbani kuongea nae na ku exchange mawazo na uzoefu.
Any age, and gender karibuni. Sina...
Wasalaam
Wiki hii mwanzoni baada ya kutoka kwenye mizunguko ya kusaka tonge, niliongea na ndugu yangu mfanyabiashara nikaomba wakati anafunga hesabu nifike kujifunza mambo mawili matatu.
Ilikuwa...
Utaratibu uliowekwa na mitandao ya simu kuwa kifurushi kinaisha muda wake siyo rafiki. Hii inamlazimisha mtu kupiga simu au kuangalia vitu vingine ambavyo siyo vya lazima ili tu awe amemaliza...
Wakuu.....
Sina haja ya kuanza na salam, maana nimevurugwa.
Ipo hivi.....
Kwasasa nimehamishiwa Dar kikazi.
Sasa one time nilialikwa na mwanangu Tupa niende kwenye pare ya kutimiza miaka 10 ya...
•Tayari wamechukua udhibiti wa mzizima port
•Wanaendelea kuleta vifaa vyao vya kisasa zaidi (of course ni vya kisasa)
•Wamechukua GATI number 1 mpaka 7 kwa wasiojua kuhusu Hizo gati wanadhani...
Ni mbunge wa Kahama mh Kishimba
Amesema kama Mwanafunzi wa Degree ya miaka 4 akifika Mwaka wa 3 na kukosa Ada ya kuendelea na masomo basi Atunukiwe " Nusu Degree"
Source: EATV
CCM kuna Burudani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.