Ndugu zetu wahaya wamebarikiwa Kuwa na Akili Sana . wapo na IQ kubwa.
Na wengi wanajua wanataka nini katika MAISHA.
Hongereni Sana
Sijui tungekuwa wapi bila wahaya hongera Sana Max na...
Mtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash (50) amefariki Dunia Leo April 20, 2024.
Gadner maarufu kama ‘Captain’ aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa...
Habarini,
Katika harakati za kutafuta mkate wa kila siku, unaweza jikuta unafanya kazi ofisi moja na mdada mrembo, she is young, hana mtoto, hajaolewa, unafanya nae kazi ofisi moja, unarusha...
Historia mwalimu mzuri, baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, kiongozi mkuu wa kitaifa aliyeenda kumpa pole ni mzanzibari, leo anatembea huku na kule akimtukana.
Tundu Lissu alimkimbia...
kumbe ndo maana tunashambuliwa kila mahali na kila kona, nimecheki Uingereza former english empire only 38% ya railway network yake ndio kuna treni ya umeme au electrified na iliyobakia ni diesel...
Msemaji wa Hamas,Osama bin Hamdan alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari mjini Beirut jana Jumanne, amesema iwapo Israel itaendelea kutoyazingatia mambo hayo na kuendelea na kuivamia Rafah...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Leo baada ya kuona video ikionesha madhara ya kimbunga Hidaya ndio nikajiuliza hivi kisiwa cha Mafia kwa shughuli za Serikali kila siku zinazofanyiwa kikazi upande wa Mafia mbona kama ni kimya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.