Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

1. Nakumbuka walivyotuaminisha kuhusu NGOMA na tulivyoambiwa wamemuiba Air port tukajua jamaa ni viwango vya Ronaldo. Tulichoshuhudia MUNGU anajua. 2. Kwa sisi tuliosoma historia ya Ukuta wa...
9 Reactions
19 Replies
688 Views
Eti mbunge huyo wa Bunda vijijini Boniface Mwita Getere anasema wanachuo wasipewe boom kwani wanafunzi wanaopewa boom hawana nidhamu, niwalevi, na hawasomi. Anadai eti walipiwe karo tu kuhusu...
10 Reactions
49 Replies
985 Views
Tuliozaliwa 1978- 1985 tunarange kuanzia miaka 39-46, tumegoma kuzeeka, sijui kama mnafahamu sababu. Iko hivi, kipindi hicho nchi ilipitia changamoto za kiuchumi, tulikuwa na vita ya iddi Amin...
18 Reactions
55 Replies
842 Views
Niliwekwa ndani na mke wangu baada ya mimi kugoma kutoa mchango wa kumdhamini kaka yake aliyekamatwa na pembe za ndovu. Zilitakiwa milioni 5 kumdhamini kaka wa mke wangu, ndugu zake...
17 Reactions
87 Replies
1K Views
Nikiwe Sibeko alivyokuwa anacheka huku anashangaa mi nilikuwa napenda balaa
1 Reactions
4 Replies
209 Views
Historia mwalimu mzuri, baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, kiongozi mkuu wa kitaifa aliyeenda kumpa pole ni mzanzibari, leo anatembea huku na kule akimtukana. Tundu Lissu alimkimbia...
4 Reactions
26 Replies
477 Views
Kutokana na majukumu yaliyo nje ya uwezo wangu nawatakia kila la kheri na mwezi May. Majukumu kwanza mengine baadaye, c ya!
2 Reactions
15 Replies
172 Views
Afisa afya au mtendaji hivi hii sehem tena mbele ya shule ya msing Lumumba mbele kabisa maji ya choo imekua kero,tena mbele ya ofisi za jiji maji machafu ya choo.tuwasaidie hawa watoto na wapita...
0 Reactions
0 Replies
6 Views
  • Suggestion
Tanzania tuitakayo baada ya miaka mitatu SERIKALI IWAUNGANISHIE WANANCHI UMEME BURE, WAKATWE KWENYE LUKU, KAYA MASIKINI TASAF IWEKE UTARATIBU WA KUWALIPIA Gharama za kuunganishiwa Umeme ni Kubwa...
9 Reactions
38 Replies
526 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,266
Posts
49,598,507
Back
Top Bottom