Wakubwa Habari Zenu Mimi Ni Kijana Wa 30+ Na Hivi Karibuni Natarajia Kupata Mtoto Wa Pili, Majaliwa Ya Mwenyezi Mungu. Haya Tujikite Kwenye Mada Hapo Juu, Kwa Jamii Ninayo Ishi Nimeshuhudia...
Wakuu habari za Jumapili,
Kama kichwa cha thread kinavyosema, ile hali umemsimamisha msichana unamuomba namba halafu anakunyima, daa inaleta stress sana ila basi tu.
Niliwekwa ndani na mke wangu baada ya mimi kugoma kutoa mchango wa kumdhamini kaka yake aliyekamatwa na pembe za ndovu.
Zilitakiwa milioni 5 kumdhamini kaka wa mke wangu, ndugu zake...
Sitaki kuongea sana twendeni kwa facts... Sitaweka vyeo vya serikalini huko wote tunajua udsm wamedominate (na kujazana wao kwa wao), nitaweka makampuni .
kwa leo tuanze na sekta ya benki...
Tunaposherehekea uhuru wa Tanzania huwa tunakuwa na akili timamu kweli😂.
Kuna nchi gani iliyounga nchi za Tanganyika na zanzibar ikaitwa Tanzania iliyopata uhuru 9 /12 / 1961 ?
Nimefuatilia interview ya Prof. Safari aliyofanya majuzi, pamoja na mengine, nimeondoka na nukuu hiyo kwamba watanzania hawana utamaduni wa kusoma, kwe ye usafiri wa umma wanashindana kula. Hii ni...
Heshima kwenu,
Sasa ni wazi kabisa katika Muungano wetu Wazanzibar wana uraia pacha (uRaia wa Zanzibar na uRaia wa JMT).
Mosi Wazanzibar wana uRaia wa Zanzibar, kupitia sheria zao ambazo...
matumaini na matarajio ya suluhu ya changamoto na matatizo binafsi na ya jumla kwa watu wa Arusha yameamshwa upya na kwakweli ni makubwa mno....
Leo watu wa Arusha wamepata ahueni ya mwanzo...
Asubuhi ya leo wakati navua raba nilipotoka mazoezini, ghafla lilinijia wazo la ni nani alikuwa anaivaa raba hiyo kabla haijaletwa Tanzania kama mtumba?
Nikaanza kuangalia jinsi mitumba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.