Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Naamini kuna mambo mengi yanayochangia migogogoro na kuvunjika kwa ndoa nyingi kwa wakati huu Ila Naomba nielezee hii sababu majawapo ambayo ni Wanaume wengi au vijana pengine niwaite wavulana...
14 Reactions
96 Replies
2K Views
Yani wewe ubaki na simu yake hlf akupe yake kwa KUTWA MOJA tu. eti wakuu? inawezekana au tuwaache kwanza? maana wengine hamkawii kudai tunawaonea wivu[emoji102]
0 Reactions
8 Replies
9 Views
Ref;-Natafuta mke mkristo, Ila akiwa msabato na awe anaishi dar es salaam itakuwa poa zaidi. Awe mwalimu au nurse au kazi yoyote ya serikali,asiwe muhaya au mjita. Awe na miaka 22-33 asiwe na...
0 Reactions
25 Replies
44 Views
Juzi rafiki yangu alikuwa ananipa stori kuhusu mama yake. Alichukua mkopo NMB kama miaka 5 iliyopita, akaweka hati ya nyumba yake kama dhamana. Uyo Mama kahangaika sana hadi akalipa deni lote...
16 Reactions
181 Replies
5K Views
Niliwekwa ndani na mke wangu baada ya mimi kugoma kutoa mchango wa kumdhamini kaka yake aliyekamatwa na pembe za ndovu. Zilitakiwa milioni 5 kumdhamini kaka wa mke wangu, ndugu zake...
49 Reactions
217 Replies
4K Views
Mimi ni mwanafunzi ninayechukua kozi ya bachelor ya fizikia hapa chuo Cha Harvard nchini Tanzania. Nimespecialize kwenye kitengo Cha medical physics. Kwa ufupi medical physicist anafanya kazi...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Naomba kuuliza juu ya Tangazo hili kama ni la kweli, maana linasambaa sana. [emoji120]
10 Reactions
228 Replies
12K Views
Wakuu haya haya haya amkeni kumekuchwa Msiseme sikuwaambia Hatimaye nimeanza kutimiza ile ndoto ya kujenga ghorofa na kwa kuanzia nimeshaleta kifusi kimoja cha mchanga. Nilipata kijisenti hapa...
10 Reactions
57 Replies
1K Views
Wakuu bado hatujafika tunapotaka ila kiukweli kuna hatua tumepiga kwa miaka hii. Haya ni mambo ambayo yalikuwepo ndani tu ya miaka isìyozidi 30. 1. Shule za sekondari zilikuwa chache mno kiasi...
11 Reactions
48 Replies
1K Views
The Weekend - Out of Time
18 Reactions
4K Replies
69K Views

FORUM STATS

Threads
1,852,352
Posts
49,601,613
Back
Top Bottom