Salaam,shalom,
Mvua kubwa zilizonyesha nchini zimeanza kuleta madhara makubwa Kwa nyumba na makazi ya watu waishio kandokando mwa ziwa Hilo.
Imeripotiwa kuwa, kaya zaidi ya 400 hazina makazi...
Hili linaweza kuwa ni jambo jipya kwako kulisikia na huenda ukamwona mwandishi hayupo sawa kwa head kama ndio hivyo unavyowaza basi wewe ndio hauko sawa kwa head kuliko hata mwandishi,,,kama...
Huyu binti alikua mzuri, akapotea kama miezi mitatu hivi akarudi na tako kubwa tu na lips pana. Mimi sikuwa na hiyana nikamuita nimchangie gharama alizotumia huko (malegend tutaelewa)
Sasa...
Niliwekwa ndani na mke wangu baada ya mimi kugoma kutoa mchango wa kumdhamini kaka yake aliyekamatwa na pembe za ndovu.
Zilitakiwa milioni 5 kumdhamini kaka wa mke wangu, ndugu zake...
Katika historia, watawala walitumia mbinu kali za adhabu kwa lengo la kuadhibu maadui zao pamoja na wale walio tekeleza matukio ya kihalifu. Pia walitumia mbinu hizo kama njia ya kuwafanya...
Akili kubwa ametumia mtumishi wa Mungu kwenye hili la kikokotoo.
=====
Pastor Daniel Mgogo: Kabla mtu hajastaafu apewe chake, siku ile anasaini fomu ya kwamba nimestaafu, muamala umesoma.
Kuna...
Ukiona moshi, usidhani uko Mkoa wa Kilimanjaro, wakati mwingine ni moto unawaka chini kwa chini.
Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Chadema Mkoa wa Mbeya amekiri kwamba uchaguzi ndani ya chama umejaa...
Kwa watu wa Dar maeneo ya Posta Kariakoo na Mbagala hiki kitu hamuwezi kuki experience Ila huku mikoani hata kama hamna jua ila mida hiyo yaani mwili unachoka tu unatulia hata kuku wanatafuta...
Wanakumbi.
🇵🇸HAMS KWA ISRAEL: UTAJUTA KUVAMIA RAFAH
Taarifa Rasmi ya Hamas:
"Hatua zilizochukuliwa na jeshi la kigaidi katika maandalizi ya shambulio dhidi ya mji wa Rafah, ambao umejaa wakazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.