Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mechi baina ya Simba dhidi ya Azam ndio itakayotoa mwanga ni timu ipi inaweza kucheza klabu bingwa msimu ujao. Azam wakiwa wameshuka dimbani mara 25 wakijikusanyia alama 57 wanapigana vita dhidi...
2 Reactions
26 Replies
1K Views
Niliwekwa ndani na mke wangu baada ya mimi kugoma kutoa mchango wa kumdhamini kaka yake aliyekamatwa na pembe za ndovu. Zilitakiwa milioni 5 kumdhamini kaka wa mke wangu, ndugu zake walijikusanya...
52 Reactions
237 Replies
5K Views
Nimesoma comment hiyo huko Instagram nikashtuka sana. Haiba ya Paul Makonda inalingana sana na ya Adolf Hitler, fuhrer wa dola la Ujerumani baada ya WWI Kwa mantiki hiyo si ajabu wataalamu wa...
4 Reactions
18 Replies
385 Views
Habari wakuu, Nimenunua Router ya airtel 5G (smart box), nimejiunga kifurushi cha unlimited cha 110,000/- kwa mwezi, nimepata changamoto ambayo hata airtel wenyewe wameshindwa kunisaidia. Nimeona...
9 Reactions
54 Replies
546 Views
Kama kichwa kinavyojieleza. Anayejua jinsi ya kufanya hizo accounts zikafungwa kwa namna yoyote.
3 Reactions
13 Replies
163 Views
Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa? Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500. Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa...
79 Reactions
309 Replies
13K Views
Ni aje wakuu, hii ni post yangu ya kwanza kabisa, ndio kwanza nimeingia hapa. Like yako hapa ni ukaribisho rasmi kwangu. Ahsante
12 Reactions
44 Replies
250 Views
Huyu binti anayejiita Catherine Kahabi ni nani? Ametoka wapi? Nimemuona mara kadhaa akiwa na Harrison Mwakyembe na anaonekana ni mtu mwenye jazba sana, anafoka na kutetema kwa fujo. Mpaka sasa...
4 Reactions
4 Replies
97 Views
Habari wakuu? Nategemea kuenda kuanzisha maisha Korogwe mjini Tanga, naomba webye ujuzi na wilaya hii wanisaidie baadhi ya taarifa zifuatazo. 1. Hali ya hewa 2. Mazao yanayolimwa sana. 3. Hali ya...
1 Reactions
14 Replies
387 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kauli za kibaguzi ambazo zimetolewa na zimekuwa zikitolewa kupitia mdomo wa Lissu zimeendelea kulaaniwa na kukemewa sana na watanzania maeneo mbalimbali nchini. Ambapo...
2 Reactions
10 Replies
90 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,370
Posts
49,602,181
Back
Top Bottom