Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

<Marquee> kichwa Cha habari kinajieleza</Marquee>
0 Reactions
6 Replies
7 Views
DK Mwigulu ameyasema hayo kwenye sherehe za Umoja wa Wanawake UWT Singida. Amesema Rais Samia amefanya mambo makubwa Kwa mda mfupi ikiwepo kuongeza Bajeti kwenye sekta zote sanjali na Kusimamia...
1 Reactions
65 Replies
2K Views
Niliwekwa ndani na mke wangu baada ya mimi kugoma kutoa mchango wa kumdhamini kaka yake aliyekamatwa na pembe za ndovu. Zilitakiwa milioni 5 kumdhamini kaka wa mke wangu, ndugu zake...
4 Reactions
11 Replies
87 Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
229 Reactions
401K Replies
32M Views
Jinsi masuala ya muungano yanavyoshughulikiwa na kwa sasa, ni mtu kipofu wa akili tu ndio hataona kwamba kadiri siku zinavyopita mbegu za uhasama kati ya Tanzania bara na Zanzibar inazidi kuota...
22 Reactions
68 Replies
2K Views
Kwa hapa Dar, je naweza kufungua butcher la samaki wabichi sato, sangara n.K kutoka Mwanza ? Kwa mtaji wa 2 milioni. Kwa wazoefu na soko la SAMAKI na usafiri pia Kutoka MWANZA to Dar hiyo pesa...
5 Reactions
31 Replies
521 Views
Mkurugenzi Mkuu wa Ubia kati ya Sekta binafsi na Serikali ya JMT Mhe David Kafulila akiwa kwenye kipindi Cha DAKIKA 45 kinachorusha katika runinga ya ITV ameuambia umma wa Watanzania mambo...
8 Reactions
177 Replies
2K Views
Tuambie ukweli kidogo!ulishawahi kutapeliwa na matapeli wa kariakoo na walikutapeli nini? toa comment yako sasa
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Chama cha Chadema kinazunguka nchi nzima kupoteza nguvu na gharama kulalamika kuwa Rais Samia ni mzanzibari hivyo na sisi tunataka Tanganyika yetu, hivi kweli chama kinachotaka kuleta maendeleo...
1 Reactions
111 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,852,230
Posts
49,597,811
Back
Top Bottom