Habarini,
Katika harakati za kutafuta mkate wa kila siku, unaweza jikuta unafanya kazi ofisi moja na mdada mrembo, she is young, hana mtoto, hajaolewa, unafanya nae kazi ofisi moja, unarusha...
Chama cha Chadema kinazunguka nchi nzima kupoteza nguvu na gharama kulalamika kuwa Rais Samia ni mzanzibari hivyo na sisi tunataka Tanganyika yetu, hivi kweli chama kinachotaka kuleta maendeleo...
Huyu binti alikua mzuri, akapotea kama miezi mitatu hivi akarudi na tako kubwa tu na lips pana. Mimi sikuwa na hiyana nikamuita nimchangie gharama alizotumia huko (malegend tutaelewa)
Sasa...
Habari ya muda huu!
Baada ya salamu. Naomba msaada wa kimawazo kwenu ndugu zangu wana JF.
Kwakweli nimepata mtihani wa KUTONGOZWA ni mke wa jamaa yangu mmoja hivi.
Yule dada namfahamu, lakini...
Napenda Kukiri kwamba mimi Ni mmoja wa watu wanaopenda Maendeleo ila Nachukizwa na Maendeleo yanayokuja baada ya kuuawa kwa watu yanaumiza sana watu wanabaki Mayatima na wengine Wajane inaumiza...
1. Yamekuwapo mazungumzo kwa azimio thabiti la makubaliano ya kusimamisha vita linaloendelea kujadiliwa kwa takribani miezi 2 sasa. Pendekezo hili likiwekwa mezani na Marekani, Qatar na Egypt kwa...
Eti mbunge huyo wa Bunda vijijini Boniface Mwita Getere anasema wanachuo wasipewe boom kwani wanafunzi wanaopewa boom hawana nidhamu, niwalevi, na hawasomi.
Anadai eti walipiwe karo tu kuhusu...
Ndugu zetu wahaya wamebarikiwa kuwa na akili Sana. wapo na IQ kubwa.
Na wengi wanajua wanataka nini katika MAISHA.
Hongereni Sana
Sijui tungekuwa wapi bila wahaya, hongera Sana Max na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.