Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Eneo ni Sanya chini, Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro baada ya serikali kuagiza nyumba hizo kubomolewa. Malisa
0 Reactions
10 Replies
182 Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, leo Tarehe 8 May 2024, Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu bado yuko Mikoani akihutubia na kufundisha Wananchi kuhusu sheria mbalimbali za Tanzania...
11 Reactions
30 Replies
1K Views
Tundu Lissu ameendelea na Mikutano ya Hadhara na leo yupo wilaya ya Mpwapwa ambapo pamoja na mambo mengine amesema tangu atoe hoja zake siku ya Muungano, Aprili 26, 2024, wamekuwepo watu wengi...
14 Reactions
29 Replies
1K Views
Habari wakuu, Nimenunua Router ya airtel 5G (smart box), nimejiunga kifurushi cha unlimited cha 110,000/- kwa mwezi, nimepata changamoto ambayo hata airtel wenyewe wameshindwa kunisaidia. Nimeona...
10 Reactions
63 Replies
684 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
266 Reactions
164K Replies
5M Views
Kama unatumia sana youtube utakuwa umekutana na matangazo ya mikopo mtandao. Mimi sikuwa nayazingatia mpaka yakaanza kuwa ya ajabu ajabu kama hivi; Basi nikaamua kufuatilia kidogo, nikatafuta...
0 Reactions
2 Replies
44 Views
Last week ndugu yangu aliumia mgongo kwa kusukumwa akipanda Mwendokasi Kariakoo. Nilitoka Mwanza kwenda kumsalimia kisha nikaenda kujionea mazingira yaliyopelekea yeye kuumia. Naomba niseme tu...
4 Reactions
12 Replies
168 Views
  • Poll
Habari wakuu, Naomba kujua maoni yenu! Klabu gani itashinda Champions League 2024 na kwa nini?
3 Reactions
44 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu, nimekutana na utapeli wa kiwanja maeneo ya Kisota Kigamboni. Mpaka sasa nipo njia panda kupata haki yangu pamoja na wahanga wenzangu zaidi ya 10, ambao tumenunua viwanja hivyo...
3 Reactions
8 Replies
220 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,385
Posts
49,602,824
Back
Top Bottom