Habari wakuu,
Nimenunua Router ya airtel 5G (smart box), nimejiunga kifurushi cha unlimited cha 110,000/- kwa mwezi, nimepata changamoto ambayo hata airtel wenyewe wameshindwa kunisaidia.
Nimeona...
Niliwekwa ndani na mke wangu baada ya mimi kugoma kutoa mchango wa kumdhamini kaka yake aliyekamatwa na pembe za ndovu.
Zilitakiwa milioni 5 kumdhamini kaka wa mke wangu, ndugu zake walijikusanya...
Welcome to the Real Madrid C.F. Jamii Forums thread. Keep up to date with the latest news & engage with the club and other supporters.
The club formed in 1902.
Stadium: Santiago Bernabéu...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Huyu kijana ambaye kwa sasa anaitwa BoniYai, hadithi yake ya kisiasa inasisimua kwa kiasi chake, hakuwahi kuwa na makuu wala kujikweza.
Hebu msome hapa halafu Toa maoni yako
Hivi ndugu zangu haya mawazo viongozi wetu huwa wanayaokota wapi?
Badala ya kufikiria jinsi wananchi watapata gesi kwa bei nafuu na gesi iwafikie watu wengi zaidi yeye anawaza kuweka tozo na luku...
Kwa mfano, pisi kali anavaa nguo fupi sana, mabega na mgongo vipo wazi, halafu mpo mahali pa burudani club, na kwa mfano mmeamua kuketi nje sehemu ya wazi na kupata burudani mbalimbali kama vile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.