Wananchi elfu tatu wako vituo vya hapa NBC bank mjini kati tangu saa 11, hakuna gari inayopakia bali zote za kwenda Mbezi na Kimara zinapita zimejaa na hazisimami.
Je, kwanini Serikali inakubali...
Nimeona nije nipate michango ya wanajamvi kutokana na kwamba jukwaa hili Lina wasomi na madaktari wengi.
Kwasasa vijana wengi tumeangukia kwenye wimbi la kujipima na Kula tunda kavu, ata huko...
Wachina, Wakongo, wake ya, wanigeria na wazambia wamekuwa wengi sana soko la Kariakoo.
Wachina wanapoingia kwenye umachinga maana yake uchuuzi umekuwa kipaombele cha soko Tanzania. Lakini uchuuzi...
08 May 2024
MBOWE YAMSHINDA AMPINGA PROF. PALAMAGAMBA KABUDI MBELE YA HALAIKI ''HATUWEZI JADILI MAMBO YALE YALE KWA MIAKA 30''....
https://m.youtube.com/watch?v=F1t-R5jykUY
Historia mwalimu mzuri, baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, kiongozi mkuu wa kitaifa aliyeenda kumpa pole ni mzanzibari, leo anatembea huku na kule akimtukana.
Tundu Lissu alimkimbia...
Ni wazi Viongozi wa Chadema wanaenda KUKIPASUA CHAMA Chao Mapande Mapande kutokana na kujaa Uroho na Tamaa ya Kutaka Urais.Mbowe anautaka Urais na Lissu anautaka Urais.
Kutokana na Kushindwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.