Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Niliwekwa ndani na mke wangu baada ya mimi kugoma kutoa mchango wa kumdhamini kaka yake aliyekamatwa na pembe za ndovu. Zilitakiwa milioni 5 kumdhamini kaka wa mke wangu, ndugu zake...
21 Reactions
110 Replies
2K Views
matumaini na matarajio ya suluhu ya changamoto na matatizo binafsi na ya jumla kwa watu wa Arusha yameamshwa upya na kwakweli ni makubwa mno.... Leo watu wa Arusha wamepata ahueni ya mwanzo...
2 Reactions
6 Replies
67 Views
Eti mbunge huyo wa Bunda vijijini Boniface Mwita Getere anasema wanachuo wasipewe boom kwani wanafunzi wanaopewa boom hawana nidhamu, niwalevi, na hawasomi. Anadai eti walipiwe karo tu kuhusu...
11 Reactions
56 Replies
1K Views
Habarini, Katika harakati za kutafuta mkate wa kila siku, unaweza jikuta unafanya kazi ofisi moja na mdada mrembo, she is young, hana mtoto, hajaolewa, unafanya nae kazi ofisi moja, unarusha...
13 Reactions
80 Replies
1K Views
Ikitokea mfungaji bora wamefungana magoli ligi kuu kanuni yake ipo hivi
0 Reactions
6 Replies
197 Views
Kwa wanao mpinga Lissu watueleze ni kitu gani anachosema cha muungano sio cha kweli? https://www.youtube.com/live/hmLasxyFJQg?si=lLw63NG_Fuxm-byT Kama kuna mtu ambaye sio Mzanzibari hapa ana...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Chama cha Chadema kinazunguka nchi nzima kupoteza nguvu na gharama kulalamika kuwa Rais Samia ni mzanzibari hivyo na sisi tunataka Tanganyika yetu, hivi kweli chama kinachotaka kuleta maendeleo...
3 Reactions
130 Replies
1K Views
Utaratibu uliowekwa na mitandao ya simu kuwa kifurushi kinaisha muda wake siyo rafiki. Hii inamlazimisha mtu kupiga simu au kuangalia vitu vingine ambavyo siyo vya lazima ili tu awe amemaliza...
1 Reactions
8 Replies
58 Views
Kama jibu ni ndio, basi huu ndio muonekano wako baada ya kujichubua.
2 Reactions
14 Replies
313 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,284
Posts
49,598,949
Back
Top Bottom