Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

My Take Naunga mkono hoja,walishwe chakula Moja kwa.moja kama Vyuo vya Ualimu,Shule za Sekondari au wajitegemee. https://www.instagram.com/reel/C6rDl25CTFw/?igsh=ZDk5Y203OTQ5d3Zo
0 Reactions
7 Replies
8 Views
Wadau nawasabahi. Uchaguzi ndio huo unakaribia. CHADEMA wameshinda pambano lao dhidi ya Halima Mdee na kundi lake kwa kuishawishi Mahakama Kuu kuthibitisha uhalali wao wa kuwafukuza Halima Mdee...
3 Reactions
36 Replies
483 Views
  • Poll
FREEMAN MBOWE TUNDU LISSU JOHN HECHE JINSI YA KUPIGA KURA. 1. Gusa jina la Unayemtaka 2. Shuka chini gusa "Cast Vote" #Kupigakura ni Kwa mgombea mmoja tu vigezo na masharti kuzingatia.
0 Reactions
37 Replies
460 Views
A
Naomba Jamii Forums msaidie kupaza sauti ya huyu mzee apate msaada, tumemkuta anaishi chini ya hili jiwe, anadai yupo hapo tangu Mwaka 2011 baada ya CDA Dodoma kuvunja nyumba yake aliyojengewa kwa...
2 Reactions
7 Replies
397 Views
-Habari za kazi viongozi, nisiwachoshe niende moja kwa moja katika swali langu. -Nimekuwa msikilizaji wa nyimbo za kibongo hasa kizazi kipya. nilijipa mda kusikiliza nyimbo zilizotengenezwa na...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Eti ni maziwa gani yanakupa ladha murua kati ya haya mawili?
4 Reactions
29 Replies
281 Views
Naona kuna watu wanaleta ubishi usio na msingi kuhusu ukubwa wa producer namba moja Tanzania S2KIZZY aka Zombie. Lakini wote wanaobisha wanasukumwa na chuki hawana sababu ya msingi. Ukweli ni...
6 Reactions
46 Replies
209 Views
Kwa siku tatu sasa ukitaka kuhakiki ubora Pombe kali konyagi.k vant nk mfumo unatoa mesage.MANTANANCE MODE AU SERVER UNAVAILABILITY TRY AGAON LATER . Vile vili kuna hisia watu kuanza kupata shida...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kwa Watanzania wengi Muslim Brotherhood unaweza isiwasitue sana hasa ukizungumzia ubaya wa Ugaidi. Lakini tusichojua ni kuwa Muslim Brotherhood ndiyo ambao wamekuwa nyuma ya panzia ya utendaji wa...
5 Reactions
54 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,996
Posts
49,591,549
Back
Top Bottom