Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Aiseeee kunaaa mambo ambayoo yakifanyikaa mpaka unaogopa, nipo maeneo ya mbezi na askari wa mp wamewapigisha kwata dereva na konda wake.Kilichotokea inasikitisha sana na mpaka tumesHAURIII...
3 Reactions
43 Replies
845 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
925 Reactions
1M Replies
40M Views
Wakuu leo nimeona huu ukweli niuseme kwamba hapa JF bila kujali itikadi, dini wala jambo lolote binafsi la mtu tukubali kwamba kuna wanaJF wanajua vitu vingi. Ingawa baadhi huandika kiujanja...
21 Reactions
80 Replies
3K Views
Mimi sijaoa Ingawa naelekea huko. Uzi wangu ni kwa dhumuni la kujifunza, hasa kutoka kwa wenye ndoa. Hili swali nimekuwa nikijiuliza mara nyingi sana. Sasa jana kuna movie moja ya Ki-Nigeria...
17 Reactions
299 Replies
2K Views
Mteja ALINIGIZA hii blanket alitaka nimfanyie delivery,nikaenda kariakoo kununua nikaanza safari kumpelekea,nafika nichukue cm nimpgie nimwambie nimefika ananiambia basi mume wangu atanunua mliman...
1 Reactions
39 Replies
356 Views
Huwa navutiwa sana ninaposikia Kibatala anamtetea mtu, nimeanza kukufuatilia kitambo sana uwezo wako kisheria na kweli umenifanya hata mimi nipende kusomea sheria, Wakili msomi Kibatala, mimi...
6 Reactions
93 Replies
2K Views
Habari wanadamu Hivi mnalionaje suala la ongezeko la watu duniani, na upungufu wa watu miaka ya mbeleni? Yani kwa wakati huu watu wanaongezeka lakini tuendako watu watapungua kama tafiti...
3 Reactions
18 Replies
331 Views
hii video nimetumiwa,jamaa huko mwanza kajirusha alikuwa Kwenye daraja la mabatini Chanzo inasemekana mambo ya mapenzi Tukirudi kwenye hiyo video ukiangalia,wakati yuko juu watu wanampita hawana...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Asubuhi ya leo wakati navua raba nilipotoka mazoezini, ghafla lilinijia wazo la ni nani alikuwa anaivaa raba hiyo kabla haijaletwa Tanzania kama mtumba? Nikaanza kuangalia jinsi mitumba...
13 Reactions
60 Replies
683 Views
Ifuatayo ndiyo orodha ya mikoa 10 bora ambayo : Ambapo binafsi nimeipangilia kwa kuangalia Upatikanaji wa chakula Urahisi wa Usafiri Elimu Hali ya Hewa Huduma za maji Mitandao ya simu Usalama...
8 Reactions
55 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,870
Posts
49,588,030
Back
Top Bottom