Ifuatayo ndiyo orodha ya mikoa 10 bora ambayo :
Ambapo binafsi nimeipangilia kwa kuangalia
Upatikanaji wa chakula
Urahisi wa Usafiri
Elimu
Hali ya Hewa
Huduma za maji
Mitandao ya simu
Usalama...
Taarifa njema iliyotufikia hivi sasa inaeleza kwamba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kinatarajia kutoa Ratiba mpya ya Maandamano ya Amani yenye lengo la kupinga Ugumu wa Maisha...
Heshima kwenu,
Sasa ni wazi kabisa katika Muungano wetu Wazanzibar wana uraia pacha (uRaia wa Zanzibar na uRaia wa JMT).
Mosi Wazanzibar wana uRaia wa Zanzibar, kupitia sheria zao ambazo...
Habari jf team.
Nimechoka na maisha ya upweke. Finally, nimeamua kufanya maamuzi magumu kwa mustakabali wa future yangu na familia ambayo Mungu atanibariki.
Natafuta MWANAMKE ambaye anahitaji...
Ukiwa member wa makundi ya Whassap, ya kifamilia, ukoo, mliosoma wote primary, O-Level, High School, Chuo, Kazini, Mtaani Kuna mzigo mzito sana wa michango ya rambirambi inakungoja.
Kila kundi...
Toka kuanza kwa vita ya Gaza Dunia imeshuhudia mtikisiko mkubwa unaotishia ustaarabu wa jamii za asili za mataifa ya magharibi ambao kimsingi unatokana na ushawishi wa ukiristo. Siku za karibuni...
Habar za wakati huu wana jf,?
Binafsi nimekua nikipata shida kidogo kuelewa nini tatzo hasa ninapoamua kununua na kula tikitimaji siku za karibuni,nakumbuka miaka ya nyuma ktk matunda yaliyokua...
Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini, pale Coco beach.
Kipindi nasoma nna kama miaka 17
niliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo, usawa wa magoti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.