Hiki ndo kizazi bora na ambacho kipo logically .
Ndo waasisi Wa kataa ndoa crew
Wanzaa kwa mpango
Wapo logically
Wapo na mental well being.
Be blessed , Golden generation.
Wadau nawasabahi.
Uchaguzi ndio huo unakaribia. CHADEMA wameshinda pambano lao dhidi ya Halima Mdee na kundi lake kwa kuishawishi Mahakama Kuu kuthibitisha uhalali wao wa kuwafukuza Halima Mdee...
Hapo nyuma kidogo kwenye mkusanyiko wowote kulikuwa na sehemu iliyotengwa maalum kwa ajili ya wababa na eneo hilo lilikaliwa na wababa tu.
na vivyo ivo kwa wamama walikuwa na eneo lao maalum na...
1. Nakumbuka walivyotuaminisha kuhusu NGOMA na tulivyoambiwa wamemuiba Air port tukajua jamaa ni viwango vya Ronaldo.
Tulichoshuhudia MUNGU anajua.
2. Kwa sisi tuliosoma historia ya Ukuta wa...
FREEMAN MBOWE
TUNDU LISSU
JOHN HECHE
JINSI YA KUPIGA KURA.
1. Gusa jina la Unayemtaka
2. Shuka chini gusa "Cast Vote"
#Kupigakura ni Kwa mgombea mmoja tu vigezo na masharti kuzingatia.
Mimi sijaoa Ingawa naelekea huko. Uzi wangu ni kwa dhumuni la kujifunza, hasa kutoka kwa wenye ndoa.
Hili swali nimekuwa nikijiuliza mara nyingi sana. Sasa jana kuna movie moja ya Ki-Nigeria...
Za siku nyingi familia yangu, familia ya MMU. Niliwakumbuka sana kwa kweli. Nilipotea kutokana na majukumu mazito ya kifamilia, lakini kwa sasa u-busy umepungua kwa namna moja ama nyingine
Nisiwe...
Kitambo kidogo mtandao wa Internet ulikuwa anasa ila kulingana na maendeleo ya sayansi na teknolojia mtandao umekuwa moja ya hitaji la binadamu.
Kulingana na uchumi wa Afrika bado gharama za...
Wanakumbi.
🇵🇸HAMS KWA ISRAEL: UTAJUTA KUVAMIA RAFAH
Taarifa Rasmi ya Hamas:
"Hatua zilizochukuliwa na jeshi la kigaidi katika maandalizi ya shambulio dhidi ya mji wa Rafah, ambao umejaa wakazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.