Mimi sijaoa Ingawa naelekea huko. Uzi wangu ni kwa dhumuni la kujifunza, hasa kutoka kwa wenye ndoa.
Hili swali nimekuwa nikijiuliza mara nyingi sana. Sasa jana kuna movie moja ya Ki-Nigeria...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Habari
1. Wengine wanasema kuna Mungu Baba, mwana na roho mtakatifu
2. Wengine wanasema Mungu mmoja
3. Wengine nasikia wanasema ana nafsi tatu
Na je kama ana nafsi tatu kwa nini munamuabudu...
Ili jambo lina nishangaza sana au sijui elimu yetu inaonyesha kuwa na ukomo wa ushindani.Miradi mikubwa au ujenzi mkubwa sijawai kuona mzawa kashinda tenda au kufikirika mfano barabara...
Ifuatayo ndiyo orodha ya mikoa 10 bora ambayo :
Ambapo binafsi nimeipangilia kwa kuangalia
Upatikanaji wa chakula
Urahisi wa Usafiri
Elimu
Hali ya Hewa
Huduma za maji
Mitandao ya simu
Usalama...
Jaribio la kumuondoa uhai limefanyika jana. Na mpaka sasa hakuna report yeyote official ya kinachoendelea iliyotolewa na ufalme wa Saudi Arabia. Saudi Arabia imekua ni mshirika mkubwa wa Marekani...
Habar za wakati huu wana jf,?
Binafsi nimekua nikipata shida kidogo kuelewa nini tatzo hasa ninapoamua kununua na kula tikitimaji siku za karibuni,nakumbuka miaka ya nyuma ktk matunda yaliyokua...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Hizi sehemu zenye kugombania gori kuanzia madukani,michezo,sanaa,mziki,ajira,siasa,sokoni,madini,uvuvi n.k bila uchawi na ushirikina kutoboa labda umeshika dini sana au kwenu ukoo uko vizuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.