Mahakamani ni sehemu ya ajabu sana kwa wale wenzetu tusiofikiria sheria wala maamuzi.Hili swala lilo lalamikiwa na jeshi la polisi kupitia afande muriro linawezaa kuzua mjadala mwengine ambao...
Asubuhi ya leo wakati navua raba nilipotoka mazoezini, ghafla lilinijia wazo la ni nani alikuwa anaivaa raba hiyo kabla haijaletwa Tanzania kama mtumba?
Nikaanza kuangalia jinsi mitumba...
Huyu bwana ni Mzanzibar ameuliza maswali muhimu kwa Watanganyika.Hivyo basi nami,nimeleta kwenu GT kupata majibu ili tuweze kumbaini mchawi wetu alikuwa nani juu kuuzwa kwa Tanganyika yetu...
Kwa watu wa Dar maeneo ya Posta Kariakoo na Mbagala hiki kitu hamuwezi kuki experience Ila huku mikoani hata kama hamna jua ila mida hiyo yaani mwili unachoka tu unatulia hata kuku wanatafuta...
1. Wasomi wengi tuna Dharau kwa wale Wasiosoma
2. Wasomi wengi ni Wabaguzi hasa kwa wale Wasiosoma
3. Wasomi wengi tunadhani Kusoma sana ndiyo kuyapatia Maisha
4. Wasomi wengi tunaishi Maisha...
Huwa navutiwa sana ninaposikia Kibatala anamtetea mtu, nimeanza kukufuatilia kitambo sana uwezo wako kisheria na kweli umenifanya hata mimi nipende kusomea sheria, Wakili msomi Kibatala, mimi...
Salaam wandugu,
Kumekuwa na malalamiko mengi sana yatokanayo na mambo ya mahusiano,uchumba na ndoa. Malalamiko haya mara nyingi yamesababishwa na kitu kinachoitwa UAMINIFU. Mwanaume anataka mke...
Hamas imetoa tangazo rasmi la kukubali mapendekezo ya kusitisha vita na kuachia baadhi ya madai yao.
Tangazo hilo limeleta furaha kubwa kwa watu wa Gaza na hata Israel japo limekuja huku Israel...
Aisee Hali ya utabisha wa Vijana wa Wanaume inazidi kuwa Tete kufuatia Utafiti kuonesha kwamba matukio ya kujiua kwao yanazidi kuongezeka huku Hali hii ikihusishwa na msongo wa mawazo unaopelekea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.