Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mimi sijaoa Ingawa naelekea huko. Uzi wangu ni kwa dhumuni la kujifunza, hasa kutoka kwa wenye ndoa. Hili swali nimekuwa nikijiuliza mara nyingi sana. Sasa jana kuna movie moja ya Ki-Nigeria...
17 Reactions
261 Replies
2K Views
Nimeikuta facebook baada ya jamaa kununua gari la kichina kwa wakala huko sauzi Hakuchukua muda mrefu Chuma inayoshikilia tairi limekatika
2 Reactions
79 Replies
2K Views
Tunafanya delivery kwa Wakazi wa Dar Unalipia ukipokea bidhaa yako Free delivery kwa Wakazi WA Dar(10KM) Tupo kariakoo mtaa wa ndanda na magira
5 Reactions
962 Replies
24K Views
Asubuhi ya leo wakati navua raba nilipotoka mazoezini, ghafla lilinijia wazo la ni nani alikuwa anaivaa raba hiyo kabla haijaletwa Tanzania kama mtumba? Nikaanza kuangalia jinsi mitumba...
12 Reactions
56 Replies
594 Views
Weekend tulienda kupata mbili tatu tukawa nzwii,sasa akishalewa yeye si kama wale wengine ati zinashukia chini!. yeye akilewa ni amapiano Tu!. atafungua muziki na anataka mcheze mapiano! sasa mimi...
12 Reactions
54 Replies
735 Views
Nasikia kama kuna Kitu ambacho Marubani wengi wa Ndege nchini Tanzania hawakipendi basi ni kupangiwa route ya kwenda Kutua Uwanja wa Ndege wa Bukoba ( Kagera ) kwa Watani zangu na naambiwa wapo...
0 Reactions
1 Replies
24 Views
Ukisikiliza kilio cha wazanzibar kuhusu unyanyasaji wanaoupata ndani ya muungano huu usioeleweka, ni kama vile Tanganyika imeikalia Zanzibar kimabavu. Ni ukweli usiopingika kwamba wazanzibar...
4 Reactions
39 Replies
524 Views
Heshima kwanu, Sasa ni wazi kabisa katika Muungano wetu Wazanzibar wana uraia pacha ( uRaia wa Zanzibar na uRaia wa JMT). Mosi Wazanzibar wana uRaia wa Zanzibar,kupitia sheria zao ambazo...
0 Reactions
1 Replies
23 Views
Katika Miaka ya 2000 Raia wengi kutoka Jamhuri ya Dominika walikuwa wanakimbia nchi yao kuelekea katika nchi ya marekani na Puerto Rico kwa ajili ya kutafuta maisha mazuri. Kwahiyo haikuwa jambo...
1 Reactions
3 Replies
219 Views
Huwa navutiwa sana ninaposikia Kibatala anamtetea mtu, nimeanza kukufuatilia kitambo sana uwezo wako kisheria na kweli umenifanya hata mimi nipende kusomea sheria, Wakili msomi Kibatala, mimi...
6 Reactions
88 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,868
Posts
49,587,951
Back
Top Bottom