Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Asubuhi ya leo wakati navua raba nilipotoka mazoezini, ghafla lilinijia wazo la ni nani alikuwa anaivaa raba hiyo kabla haijaletwa Tanzania kama mtumba? Nikaanza kuangalia jinsi mitumba...
19 Reactions
83 Replies
1K Views
Inawezekana kuna mtu akawa na changamoto kama yangu hii hapa. Unajitahidi kutokuwa na mchumba na unajilinda kutokufanya uasherati lakin muda mwingi nakuwa Natumia kufikiria matendo ambayo si...
1 Reactions
7 Replies
77 Views
Mimi sijaoa Ingawa naelekea huko. Uzi wangu ni kwa dhumuni la kujifunza, hasa kutoka kwa wenye ndoa. Hili swali nimekuwa nikijiuliza mara nyingi sana. Sasa jana kuna movie moja ya Ki-Nigeria...
25 Reactions
490 Replies
5K Views
Dada zetu mtalea sana watoto peke yenu na kujipa usingo mother usio na sababu, kumbukeni kuwa kuzaa ni mipango ya watu wawili mama na baba. Sasa unakutana na binti kaanzisha tu mahusiano na mume...
3 Reactions
15 Replies
234 Views
  • Suggestion
Hivi karibuni nyuzi zangu nyingi zimekuwa zikielezea hali halisi ya maisha yangu. Moja wapo ya uzi uliokuja kuokoa maisha yangu ni ule...
3 Reactions
5 Replies
121 Views
Salaam wandugu, Kumekuwa na malalamiko mengi sana yatokanayo na mambo ya mahusiano,uchumba na ndoa. Malalamiko haya mara nyingi yamesababishwa na kitu kinachoitwa UAMINIFU. Mwanaume anataka mke...
4 Reactions
28 Replies
227 Views
Naamini kuna mambo mengi yanayochangia migogogoro na kuvunjika kwa ndoa nyingi kwa wakati huu Ila Naomba nielezee hii sababu majawapo ambayo ni Wanaume wengi au vijana pengine niwaite wavulana...
5 Reactions
51 Replies
684 Views
Kwa watu wa Dar maeneo ya Posta Kariakoo na Mbagala hiki kitu hamuwezi kuki experience Ila huku mikoani hata kama hamna jua ila mida hiyo yaani mwili unachoka tu unatulia hata kuku wanatafuta...
9 Reactions
28 Replies
523 Views
Wakuu kwema. Mkazi wa Dar, nataka ninunue baiskeli kwaajili ya mazoezi na siku moja moja hali ya hewa ikiwa nzuri natumia kwenda nayo kazini (3KM kutoka nyumbani). Naomba ushauri wenu, kwa...
11 Reactions
31 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,932
Posts
49,589,754
Back
Top Bottom