Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mpaka sasa watu wanaoaminika kwa hoja na weledi ndani ya Chama cha Mapinduzi Ndugu Comrade Kinana Makamu mwenyekiti wa Chama Taifa na Ndugu Ali Happy ambaye mpaka sasa sijui cheo chake...
5 Reactions
48 Replies
786 Views
Wakuu neno ukiukwaji wa haki unaweza kulichukulia kirahisi kama haijakutokea wewe. Ila ni kitu kinachoweza kukuvuruga mno kikitokea. Hayati Lowassa ni miongoni wanajua ladha ya hilo neno kwa...
0 Reactions
2 Replies
88 Views
Habar za wakati huu wana jf,? Binafsi nimekua nikipata shida kidogo kuelewa nini tatzo hasa ninapoamua kununua na kula tikitimaji siku za karibuni,nakumbuka miaka ya nyuma ktk matunda yaliyokua...
2 Reactions
18 Replies
255 Views
Hayo yameelezwa na KM wa CCM Dkt.John Nchimbi wakati wa ziara yake ya Mikoa 6 akiwa Njombe. DK Nchimbi ameonekana kushangazwa na kufurahishwa na Wingi wa miradi na maendeleo yaliyofanyika na...
5 Reactions
219 Replies
3K Views
Habari jf team. Nimechoka na maisha ya upweke. Finally, nimeamua kufanya maamuzi magumu kwa mustakabali wa future yangu na familia ambayo Mungu atanibariki. Natafuta MWANAMKE ambaye anahitaji...
1 Reactions
24 Replies
131 Views
Ukiwa member wa makundi ya Whassap, ya kifamilia, ukoo, mliosoma wote primary, O-Level, High School, Chuo, Kazini, Mtaani Kuna mzigo mzito sana wa michango ya rambirambi inakungoja. Kila kundi...
5 Reactions
23 Replies
509 Views
Huwa najiuliza ingekuwaje tungepata uhuru mwaka 1919 baada ya Mjerumani kushindwa vita vya kwanza vya duni 1914 hadi 1918. Kumbuka tungekuwa nchi moja na Rwanda na Burundi. Je tungetumia lugha...
0 Reactions
3 Replies
45 Views
kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu natafuta rafiki wa kike ila sina maisha kabisa[emoji3] naishi Arusha Elimu ni ya uhasibu but it didn't work[emoji16]
4 Reactions
22 Replies
194 Views
Mimi sijaoa Ingawa naelekea huko. Uzi wangu ni kwa dhumuni la kujifunza, hasa kutoka kwa wenye ndoa. Hili swali nimekuwa nikijiuliza mara nyingi sana. Sasa jana kuna movie moja ya Ki-Nigeria...
24 Reactions
419 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,905
Posts
49,589,090
Back
Top Bottom