Weekend tulienda kupata mbili tatu tukawa nzwii,sasa akishalewa yeye si kama wale wengine ati zinashukia chini!.
yeye akilewa ni amapiano Tu!.
atafungua muziki na anataka mcheze mapiano! sasa mimi...
Wakubwa habari za majukumu samahani kwa walio fanya interview Za utumishi hivi karibuni setting yao inakuaje kwa intervier za online au maswali yao yanakua katika mfumo gani?
REKODI YA NGONO DUNIANI
LISA SPARKS raia wa Poland ndio anashika rekodi ya mwanamke aliyefanya mapenzi na wanaume wengi duniani
Raia huyo alifanya mapenzi na wanaume 919 ndani ya masaa 12...
Ninaishauri serikali imdhibiti sana Lisu kwa kauli zake anazotoa. Surely ule ni uhaini na anajaribu kusambaza chuki ya wazi wazi wanachi wamachukui Samia kama yeye na siyo rais.
Chukueni hatua...
Kwa wale mliopitia habari za barabara ya Dar es salm, Kibiti, Lindi Mtwara hivi karibuni, sasa tunajionea madudu ya kale.
Barabara hii imejengwa chini ya viwango.
Na tukumbuke waziri aliyehusika...
Aiseeee kunaaa mambo ambayoo yakifanyikaa mpaka unaogopa, nipo maeneo ya mbezi na askari wa mp wamewapigisha kwata dereva na konda wake.Kilichotokea inasikitisha sana na mpaka tumesHAURIII...
1. Wafanyakazi wanatema nyongo kuwa rais kakimbia hoja za kikokotoo Mei mosi.
2. Lisu anasema rais mzanzibari anaouza rasilimali za Tanganyika kwa wajomba zake waarabu.
3. Wanaccm wanalalamikia...
Chekechea na Primary nimesoma english medium private.
Sekondari Form 1 hadi 6 nimesoma Boarding private, Msosi Pilau kila J5 na J2, Ugali ni nadra sana.
Chuo kikuu sikupata mkopo ila si haba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.