Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwa lugha nyepesi ni kwamba ni kwamba misaada, watu na vinginevyo haviwezi kuingii moja kwa moja Gaza mpakani Rafah bila ukaguzi na idhini ya Israel. Jeshi la Israel limechukua udhibiti wa...
0 Reactions
3 Replies
79 Views
Wakuuuu mambo vipi Leo nawaleteaa SSD pamoja na RAM bei kitonga kabisaaa Karibu tukuhudumieee Karibu sana Tunatuma mikoani kwa uaminifu
0 Reactions
8 Replies
150 Views
Kwa msaada wa wiki pedia Viti maalum vya wanawake ni nafasi bungeni zinazotolewa kwa utaratibu unaopatikana katika nchi mbalimbali na unaolenga kuongeza idadi ya wanawake na athira yao katika...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wanaume tukikutana sehemu halafu hatujuani majina yetu halisi 1. Mwamba 2. Chief 3. Jombaa 4. Mtaalam 5. Kiongozi 6. Blood 7. Kijana 8. Jeshi 9. Captan 10. Babu 11. Dingii Mwanaume halisi...
2 Reactions
9 Replies
114 Views
Ameandika Tundu Lissu kwenye Mtandao wa X Serikali ya SSH leo imevunja makazi ya Wamasai wa Sanya Station, karibu & airport ya KIA. Lengo ni kukabidhi eneo lao kwa kampuni ya Oman Airports ya...
10 Reactions
66 Replies
1K Views
Nadhani ifike wakati serikali yetu hata kama ina wajinga wengi basi tutumie nafasi yetu kushauri badala ya kukosowa tu. Mimi si mtaalam wa mambo ya ulinzi lakini naelewa fika nimezaliwa Dar gongo...
9 Reactions
35 Replies
652 Views
Ifuatayo ndiyo orodha ya mikoa 10 bora ambayo : Ambapo binafsi nimeipangilia kwa kuangalia Upatikanaji wa chakula Urahisi wa Usafiri Elimu Hali ya Hewa Huduma za maji Mitandao ya simu Usalama...
17 Reactions
139 Replies
4K Views
Pombe ni tamu sana. Its Tuesday btw Yani msomi kama mimi nipo ndani ya taarabu and i dont care. Mtu amualike janabi kwenye pombe siku moja moja. naona ana miss out. Janabi nipo na students...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Alfajiri ya kuamkia leo jeshi la Israel kwa kutumia vifaru na mashambulizi ya anga wamefanikiwa kufikia kituo cha mpaka wa Gaza na Misri na kukishikilia kituo hicho kutokea upande wa Gaza. Mara...
0 Reactions
25 Replies
610 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,052
Posts
49,593,909
Back
Top Bottom