Wadau, habari ya majukumu bila shaka muwazima wa afya, kama na wale wenye changamoto ya afya, niwaoe pole.
Bila kupoteza muda, twende kwenye mada husika. Hili neno "kila nafsi itaonja mauti,"...
Wakuu sijawahi kukutana na mtu mkorofi mtata na mwenye visasi kiasi hiki. Biashara imekuwa ngumu sana mpaka nawaza kuifunga tu asije akanipeleka jela bure maana amepania kupeleka jela...
Wakuu habari za Jumapili,
Kama kichwa cha thread kinavyosema, ile hali umemsimamisha msichana unamuomba namba halafu anakunyima, daa inaleta stress sana ila basi tu.
Wadau hakika kipa umbele ni simu inayodumu sana na Chaji. Nisaidieni kupata simu hiyo hata kama ni Refurbished kwa maximum budget ya 1.1 TZS Million. Inatakiwa kama ni Samsung iwe at least S10+ na...
Waamuzi kama Amina na Tatu Malogo ambao wanaonesha dhahiri ushabiki wao na kununuliwa kwao na Simba basi Tz na Africa hatuwezi kufika kokote kwenye Dunia ya michezo.
Jambo hili lilionekana pia...
Mpaka Sasa Rais hajateua mwenyekiti wa TSC tangu mwaka jana mwezi wa saba 2023 hakuna Alie thibitishwa kazini kutokana na ukosefu wa mwenyekiti, mashauli ya kinidhamu ngazi ya wilaya yamekuwa...
Tumemsikia Kinana akisema uchaguzi sio tume, na kwamba hoja ya wapinzani kulilia tume huru haina mashiko. Kama Kinana na CCM wanaamini hivyo, embu wajaribu kuwapa fursa wapinzani kipindi hiki...
"University of Southern California Muslim students are praying Jumma (Friday prayer) and non-muslim students made a wall, surrounding them for their safety. How beautiful Scene!"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.