Tokea kipindi cha Jpm Shirika linapata hasara na bado mnanunua ndege mpya kila mwaka CAG anasema shirika lina hasara ya Mabilioni hivi huwa mnashauriwa na nani, Kama Bandari imetushinda tukampa...
Wamefunguliwa kesi ya Uchochezi na kuzua Taharuki
Kesi hiyo imefunguliwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu, Dar es Salaam.
Bado haijajulikana kama watapata dhamana au watapelekwa Segerea...
Kuna Siri kubwa Sana Kati ya taifa la Israel na Ukristo. Ukweli ni kwamba wa Israel hawaupendi Ukristo na wanamkana Yesu Kristo. Wamekengeuka.
Ni ukweli usiopingika kwamba Ushoga Israel...
Kama ni mfatiliaji mzuri wa hip hop, nadhani Utakuwa umesha Iona hii.
Ila Kama bado, story Ina anzia Mwaka Jana ambapo drake na j Cole wali toa ngoma Ina itwa first person shooter.
Humo ndani j...
LISSU ni mwanasiasa muongo, mfitini na mbaguzi kuwahi kutokea katika Taifa hili,
Watanzania lazima muelewe vizuri hulka ya huyu ndugu yetu ambae wengi tunaamini baada ya ile ajali kwa sasa...
Habari wanadamu
Hivi mnalionaje suala la ongezeko la watu duniani, na upungufu wa watu miaka ya mbeleni?
Yani kwa wakati huu watu wanaongezeka lakini tuendako watu watapungua kama tafiti...
Kuna mtu namjua na kumfahamu vilivyo, ni kijana msomi ana elimu nzuri ila kawa chawa,
Kila timu inapokwenda kucheza na yeye huenda, ni miongoni mwa wale vijana wa kibegi cha makombe na kapu la...
Mteja ni mfalme ila kuna wakati naye huzingua na kujikuta kajivua au kuvuliwa ufalme wake na kuonekana kenge tu. Sababu zinaweza kuwa hizi.
1. Mteja anayeona duka linafanya SALE ila bila aibu...
Leo baada ya kuona video ikionesha madhara ya kimbunga Hidaya ndio nikajiuliza hivi kisiwa cha Mafia kwa shughuli za Serikali kila siku zinazofanyiwa kikazi upande wa Mafia mbona kama ni kimya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.