Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Huwa navutiwa sana ninaposikia Kibatala anamtetea mtu, nimeanza kukufuatilia kitambo sana uwezo wako kisheria na kweli umenifanya hata mimi nipende kusomea sheria, Wakili msomi Kibatala, mimi...
0 Reactions
1 Replies
13 Views
Kijana uliemaliza kidato cha nne au cha sita.. kabla ya kufanya maamuzi ya kusoma Diploma in clinical medicine yajue haya. Clinical medicine ni kozi ya diploma ya utabibu (udaktari) ukisoma hii...
50 Reactions
112 Replies
5K Views
I will be short These are the most useless individual in our football. i believe we could have been better than what we are today. 1. Ligi yetu ina panga matokeo kama ligi ya Kenya. Shame...
0 Reactions
2 Replies
31 Views
Hayo yameelezwa na KM wa CCM Dkt.John Nchimbi wakati wa ziara yake ya Mikoa 6 akiwa Njombe. DK Nchimbi ameonekana kushangazwa na kufurahishwa na Wingi wa miradi na maendeleo yaliyofanyika na...
5 Reactions
184 Replies
3K Views
Wakuu sijawahi kukutana na mtu mkorofi mtata na mwenye visasi kiasi hiki. Biashara imekuwa ngumu sana mpaka nawaza kuifunga tu asije akanipeleka jela bure maana amepania kupeleka jela...
3 Reactions
21 Replies
481 Views
Kuna mikakati maalumu (kabambe) imeeandaliwa ili lastborn Simba SC ashike nafasi ya pili Hilo lipo wapi. Goli walilofunga Tabora united na kudhurumiwa goli HIZO ni Juhudi za wazi kabisa kuwa...
8 Reactions
41 Replies
654 Views
  • Suggestion
Utangulizi: Matumizi ya dawa za asili yamekuwa ni sehemu muhimu ya utamaduni na afya katika jamii nyingi nchini Tanzania. Hata hivyo, ongezeko la matumizi ya dawa hizi limeibua hoja ya kuwepo kwa...
0 Reactions
1 Replies
11 Views
Nimeikuta facebook baada ya jamaa kununua gari la kichina kwa wakala huko sauzi Hakuchukua muda mrefu Chuma inayoshikilia tairi limekatika
2 Reactions
14 Replies
205 Views
Habari zenu ndugu, jamaa na marafiki! Naitwa Enock, napatikana Mbezi Mwisho (Mbezi ya Kimara), mimi ni fundi wa kutengeneza samani zote za ndani (furniture) kama vile makabati, sofa, vitanda na...
3 Reactions
4 Replies
68 Views
Leo Mei 6, 2024, JamiiForums (JF) imetembelewa na Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Michael A. Battle, kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na taasisi, ambapo amepitishwa kwa...
16 Reactions
67 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,766
Posts
49,584,145
Back
Top Bottom