Mfanyakazi wa sekta ya umma Tanzania, mnapoambiwa kuwa CCM ni sumu hatari inayoua taratibu, muwe mnaelewa..
Sasa ona hapo. Mmeenda Arusha na matumaini kibao ya kusikia "nani kama mama" anatoa...
Aliyesema kilimo ni uti wa mgongo au kale kamsemo ka mhenga kuwa kama mnataka mali mtayapata shambani aje Zanzibar. Hata ule msemo wa kwenye bible kuwa asiyefanya kazi asile aje Unguja atengue...
Kukua kwa sayansi na Teknolojia ni maarifa ambayo Mungu ameyaachilia kwa wanadamu , Dunia ya sasahivi imekuwa kama kijiji unaweza ukawa Bonyokwa ukaongea na mtu wa London , Nashangaa sana kwa...
Hiki chombo ni mhimili muhum sana katika serikali.
Tukianza na Serikali haina shida
Mahakama haina tatizo
Shida ipo bunge
1. Chombo kinachotumia pesa nyingi bila tija.
2. Wahuni hujikusanya...
Heshima sana wanajamvi,
Bank ya NMB ilifungua tawi (Branch) kwaajili ya wafanyabiashara (makampuni).
Jambo la kusikitisha siku hizo walimu,vibarua washona viatu,wauza ushanga,wauza mbege . ...
Kwanza Kabisa Pascal Mayalla amekiri kwamba yeye ni Mkatoliki aliyetukuka
Pili Father Kitima amekiri kufuatilia JF kila siku akipendelea zaidi Jukwaa la Siasa na lile la Elimu
Father Kitima...
Ukisikiliza kilio cha wazanzibar kuhusu unyanyasaji wanaoupata ndani ya muungano huu usioeleweka, ni kama vile Tanganyika imeikalia Zanzibar kimabavu. Ni ukweli usiopingika kwamba wazanzibar...
Mimi nina miaka 40 naa... mim miaka mitano iliyopita nilipata tatizo la kutokurudia tendo yaan nikipiiga gori langu moja basi mpka keshoo
Sasa mwezi mmoja uliyopita limeibuka tatizo lingine...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Habari
1. Wengine wanasema kuna Mungu Baba, mwana na roho mtakatifu
2. Wengine wanasema Mungu mmoja
3. Wengine nasikia wanasema ana nafsi tatu
Na je kama ana nafsi tatu kwa nini munamuabudu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.