Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Gazeti la mwananchi na vyombo vya habari vya Mwananchi communications ni kama vile vimekuwa compromised. Naona kama vyombo hivi vimepoteza focus na sasa vinakwenda kufanya kazi ya Daily news au...
2 Reactions
5 Replies
195 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
925 Reactions
1M Replies
40M Views
Hii mitindo ya wasanii kujifanya wana pesa sana, halafu wakiugua wanapitisha mabakuli ya michango, inakera sana.
3 Reactions
15 Replies
508 Views
Tajiri wa hizi sheli kafanikiwa kumaintain discipline na uaminifu kwa wafanyakazi wake napendezwa sana na utamaduni wao karibia kwa sheli zote. Naonaga zinapigwa nyimbo za dini au ni sheli ya...
3 Reactions
10 Replies
271 Views
Katika CCM ya sasa watu pekee ambao naweza kusema wana maarifa na uwezo wa kuweza kujibu hoja nzito za wapinzani na Watanzania ni Makamu Mwenyekiti wa chama Ndug. Abdulrahman Kinana na Katibu Mkuu...
16 Reactions
69 Replies
3K Views
Mechi baina ya Simba dhidi ya Azam ndio itakayotoa mwanga ni timu ipi inaweza kucheza klabu bingwa msimu ujao. Azam wakiwa wameshuka dimbani mara 25 wakijikusanyia alama 57 wanapigana vita dhidi...
0 Reactions
10 Replies
292 Views
Yupo wapi Arme Nando?? Big Brother Africa contestant miaka zile zetu Namtafuta sana
0 Reactions
1 Replies
6 Views
Hamas imetoa tangazo rasmi la kukubali mapendekezo ya kusitisha vita na kuachia baadhi ya madai yao. Tangazo hilo limeleta furaha kubwa kwa watu wa Gaza na hata Israel japo limekuja huku Israel...
0 Reactions
14 Replies
263 Views
Gaza kumekucha huko wananchi wanazurura mitaani wakiimba na kumshukuru Mungu baada ya Hamas kukubali masharti ya Israel muda huu. Kwakweli Mungu ni mwema anajibu wamekufa wengi sana na sasa...
4 Reactions
76 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,796
Posts
49,585,157
Back
Top Bottom