Kwa namna mambo yalivyo na namna mambo yanavyoendelea, nashawishika kusema waliotaka kukiuka katiba baada ya kile kifo walikuwa sahihi sana.
Watu hawa wana macho makali yanayoona mbali kama ndege...
All the Best Mnyama 🦁
Updates za Mchezo wa Leo..
Kikosi cha Simba Kinachoanza.
Updates...
Mpira unaendelea kwa kasi Kidogo.
Simba wanajaribu kufanya mashambulizi kwenye lango la Tabora
DK 5'...
Ofcoz tulikuwa na kamgogoro flani wakati naondoka..
Lakini ni masaa 14 toka nifike in my destination ila wife hata hajanipia kunijulia hali ila whatsapp yuko mudo wote namuona online.
Nifanyaje...
Habari, Mwezi uliopita mlilipoti kuhusu kuharibika kwa barabara hapa maili moja- kibaha, barabara ya kutoka mtaa wa maili moja shule kwenda kutokea Morogoro road mtaa wa sheli ya zamani,(...
Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini, pale Coco beach.
Kipindi nasoma nna kama miaka 17
niliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo, usawa wa magoti...
Leo baada ya kuona video ikionesha madhara ya kimbunga Hidaya ndio nikajiuliza hivi kisiwa cha Mafia kwa shughuli za Serikali kila siku zinazofanyiwa kikazi upande wa Mafia mbona kama ni kimya...
Hizi ofisi za umma zina shida sana, leo nimeamka mapema sana nikasema acha nije wanikadirie ili nilipe kodi yao.
Shida inaanza wananiambia TIN haisomi location ya hapo kwao hivyo inabidi...
Moja kwa moja kwenye mada…
Huyu rafiki yangu alinitongoza sana. Yani miaka 3 straight anafukuzia tu, nipe nipe..
Mapenzi game la nyoka bwana, nikaachika huko. Nikasema nimpe chance huyu mgaagaa...
Haya magaidi mnabaki wenyewe....
People flee the eastern parts of Rafah after the Israeli military began evacuating Palestinian civilians ahead of a threatened assault on the southern Gazan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.