Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Lisu na timu yake ile inayotaka kujitenga CHADEMA (Msigwa na John), ni Wanufaika wa Muungano wa Zanzibar na Tanganyika, Wamesomesha na Matunda ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Leo...
0 Reactions
12 Replies
13 Views
Naandika kwa mara ya nne. TAMISEMI kushirikiana na Wizara ya Afya nchini Tanzania walipata ufadhili na World Bank (WB) kuajiri watumishi wa afya ajira mkataba wa miaka mitatu. Wamejitahidi...
0 Reactions
12 Replies
167 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
266 Reactions
163K Replies
4M Views
Nchi haitaki watu wenye akili kubwa kuliko watoto wa viongozi wakuu wa nchi. Viongozi waandamizi wanatamani wangezaa watoto kama John Pambalu lakini bahati haikuwa yao. Wao wamebahati kuzaa watoto...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Leo Mei 6, 2024, JamiiForums (JF) imetembelewa na Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Michael A. Battle, kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na taasisi, ambapo amepitishwa kwa...
16 Reactions
61 Replies
1K Views
Mods, kwanini mmefuta huo Uzi? Hakuna swali la kijinga!! Tafadhalini sana, hata kama mnatumia hii kitu, acheni ijadiliwe🙏 SWALI: Ikiwa nguruwe ni HAYAWANI, ni sawa kutumia Kwa chakula? Karibuni 🙏
2 Reactions
53 Replies
231 Views
Asalaam Aleykhum Warahmatullah Wabarakatul....! Hii ni kwenu Makafiri mnaotuita "Wavaa Kobazi" Muislam unapovaa kobazi inakurahisishia kuvivua na kuchukua "UDHU" kirahisi hasa kama unaswali...
0 Reactions
11 Replies
15 Views
Nimeikuta facebook baada ya jamaa kununua gari la kichina kwa wakala huko sauzi Hakuchukua muda mrefu Chuma inayoshikilia tairi limekatika
1 Reactions
2 Replies
35 Views
Wakuu poleni sana na majukumu ya kutwa nzima. Ipo hivi mke anataka kujua password ya cm yangu.tena analazimisha sasa nataka aguse cm nimpasue leo napasua mtu.
1 Reactions
2 Replies
15 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,758
Posts
49,583,869
Members
668,154
Latest member
mbalizi mbilinyi
Back
Top Bottom