Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
925 Reactions
1M Replies
40M Views
Mechi baina ya Simba dhidi ya Azam ndio itakayotoa mwanga ni timu ipi inaweza kucheza klabu bingwa msimu ujao. Azam wakiwa wameshuka dimbani mara 25 wakijikusanyia alama 57 wanapigana vita dhidi...
0 Reactions
10 Replies
292 Views
Yupo wapi Arme Nando?? Big Brother Africa contestant miaka zile zetu Namtafuta sana
0 Reactions
1 Replies
6 Views
Hamas imetoa tangazo rasmi la kukubali mapendekezo ya kusitisha vita na kuachia baadhi ya madai yao. Tangazo hilo limeleta furaha kubwa kwa watu wa Gaza na hata Israel japo limekuja huku Israel...
0 Reactions
14 Replies
263 Views
Gaza kumekucha huko wananchi wanazurura mitaani wakiimba na kumshukuru Mungu baada ya Hamas kukubali masharti ya Israel muda huu. Kwakweli Mungu ni mwema anajibu wamekufa wengi sana na sasa...
4 Reactions
76 Replies
2K Views
Lissu na timu yake ile inayotaka kujitenga CHADEMA (Msigwa na John), ni Wanufaika wa Muungano wa Zanzibar na Tanganyika, Wamesomeshwa na Matunda ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
1 Reactions
40 Replies
451 Views
Chekechea na Primary nimesoma english medium private. Sekondari Form 1 hadi 6 nimesoma Boarding private, Msosi Pilau kila J5 na J2, Ugali ni nadra sana. Chuo kikuu sikupata mkopo ila si haba...
9 Reactions
57 Replies
1K Views
Salama Wakuu? Watu walitabiri na kutabiri mara Kikeke anaenda TBC, mara anaenda Wasafi, mara atalamba teuzi za Rais Samia akaungane na Zuhura, sasa kutabiri kumeisha, Kikeke huyooo kwa CROWN...
10 Reactions
107 Replies
4K Views
Gazeti la mwananchi na vyombo vya habari vya Mwananchi communications ni kama vile vimekuwa compromised. Naona kama vyombo hivi vimepoteza focus na sasa vinakwenda kufanya kazi ya Daily news au...
2 Reactions
4 Replies
195 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,796
Posts
49,585,157
Back
Top Bottom