Asalaam Aleykhum Warahmatullah Wabarakatul....!
Hii ni kwenu Makafiri mnaotuita "Wavaa Kobazi"
Muislam unapovaa kobazi inakurahisishia kuvivua na kuchukua "UDHU" kirahisi hasa kama unaswali...
Lisu na timu yake ile inayotaka kujitenga CHADEMA (Msigwa na John), ni Wanufaika wa Muungano wa Zanzibar na Tanganyika, Wamesomesha na Matunda ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Leo...
Naandika kwa mara ya nne.
TAMISEMI kushirikiana na Wizara ya Afya nchini Tanzania walipata ufadhili na World Bank (WB) kuajiri watumishi wa afya ajira mkataba wa miaka mitatu.
Wamejitahidi...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Nchi haitaki watu wenye akili kubwa kuliko watoto wa viongozi wakuu wa nchi. Viongozi waandamizi wanatamani wangezaa watoto kama John Pambalu lakini bahati haikuwa yao. Wao wamebahati kuzaa watoto...
Leo Mei 6, 2024, JamiiForums (JF) imetembelewa na Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Michael A. Battle, kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na taasisi, ambapo amepitishwa kwa...
Mods, kwanini mmefuta huo Uzi?
Hakuna swali la kijinga!!
Tafadhalini sana, hata kama mnatumia hii kitu, acheni ijadiliwe🙏
SWALI: Ikiwa nguruwe ni HAYAWANI, ni sawa kutumia Kwa chakula?
Karibuni 🙏
Wakuu poleni sana na majukumu ya kutwa nzima.
Ipo hivi mke anataka kujua password ya cm yangu.tena analazimisha sasa nataka aguse cm nimpasue leo napasua mtu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.