FedhaBook: Mfumo wa kusimamia hesabu za biashara yako hata kama upo mbali na biashara yako
Okoa muda na kujichosha kupiga mahesabu kwa kichwa na kalamu na daftari na uutumie muda huo kufanya...
Mtazamo wa elimu yetu ni kuwa elimu ni njia ya kupata fedha na maisha bora, Tumekuwa tukiona walimu, wazazi/walezi, viongozi wa serikali na jamii ikihamasisha watoto kuzingatia elimu ili baadae...
Mzuka wanajamvi!
Yuko london Ungereza endeleeni sasa kuroga na kumuombea mabaya.
Anachowaombea tu ni wawili muishi maisha marefu na msiwe vipofu.
Kufa hamfi lakini cha moto mnaona.
Kuna ukweli tunatotakiwa kuufafanua na kama ni kero irekebishwe kama kweli tunafikiri muungano huu ni wa muhimu.
1. Wazanzibar wengi sana wanamiliki ardhi na majengo bara, kama raia. ila Wabara...
Naandika kwa mara ya nne.
TAMISEMI kushirikiana na Wizara ya Afya nchini Tanzania walipata ufadhili na World Bank (WB) kuajiri watumishi wa afya ajira mkataba wa miaka mitatu.
Wamejitahidi...
Siyo mzaha jamaa kwa biashara wako vzr sna Kuna mtaa naishi hapa dodoma Basi kulifunguliwa vi car wash Kama mbili tatu hv na baadae mchaga mmoja ambae Ni Dr wa Benjamin mkapa nae akaja kuanzisha...
Wakuu..niko morogoro wilaya flani kikazi.
Hapa kuna mchepuko wangu flani,so kwa jinsi mvua zinavyopiga huu mkoa nikasema ngoja nikajipumzishe kwa huu mchepuko..ebana nilikua na mavuzi mengi tu coz...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.