Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
925 Reactions
1M Replies
40M Views
Tajiri wa hizi sheli kafanikiwa kumaintain discipline na uaminifu kwa wafanyakazi wake napendezwa sana na utamaduni wao karibia kwa sheli zote. Naonaga zinapigwa nyimbo za dini au ni sheli ya...
3 Reactions
13 Replies
288 Views
Tukisia neno kifo huwa tunaingiwa na taharuki na kuchanganyikiwa kwa kuona mwisho wa mtu umefika. Embu tujiulize, kwanini tunahofu sana na kifo?. Ni kweli kifo ni kitu kibaya hivyo kwetu. Au ni...
1 Reactions
34 Replies
1K Views
A/alleikum Naitwa Bakari Hamisi mkazi wa Dar es salaam. Umri 32 miaka. Kazi: Muajiliwa (Electrical engineer) Natafuta mchumba ambae atakuja kuwa mke kama tukiridhiana Sifa Uwe Muslim Elimu yoyote...
3 Reactions
33 Replies
267 Views
Habari? Nafanya Ubunifu wa Logo katika ubora unaoridhisha.. na pia unapata na offer ya letterhed Design na Business card au Tangazo la kupost mtandaoni. BEI ZA LOGO 80K= Logo+B Card+Letter head...
12 Reactions
314 Replies
9K Views
1. Wasomi wengi tuna Dharau kwa wale Wasiosoma 2. Wasomi wengi ni Wabaguzi hasa kwa wale Wasiosoma 3. Wasomi wengi tunadhani Kusoma sana ndiyo kuyapatia Maisha 4. Wasomi wengi tunaishi Maisha...
7 Reactions
22 Replies
598 Views
Unaweza kutune Star tv Kipindi linaendelea Kabla ya kulala Unono mtakuwa mmejipatia uhondo Ni Pambalu vs Mtozi 😂
2 Reactions
11 Replies
474 Views
Wanakumbi ⚡️⭕️🔻#YEMEN : Vikosi vya Wanajeshi wa Yemen kupanua eneo la operesheni hadi Bahari ya Mediterania mara moja na kuidhinisha usafirishaji wa kampuni zote ambazo zina uhusiano na #Israel...
8 Reactions
34 Replies
849 Views
Gazeti la mwananchi na vyombo vya habari vya Mwananchi communications ni kama vile vimekuwa compromised. Naona kama vyombo hivi vimepoteza focus na sasa vinakwenda kufanya kazi ya Daily news au...
2 Reactions
5 Replies
208 Views
Hii mitindo ya wasanii kujifanya wana pesa sana, halafu wakiugua wanapitisha mabakuli ya michango, inakera sana.
3 Reactions
15 Replies
516 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,796
Posts
49,585,157
Back
Top Bottom