Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimeikuta facebook baada ya jamaa kununua gari la kichina kwa wakala huko sauzi Hakuchukua muda mrefu Chuma inayoshikilia tairi limekatika
1 Reactions
5 Replies
35 Views
Wafanyakazi wa sekta ya umma Tanzania, mnapoambiwa kuwa CCM ni sumu hatari inayoua taratibu, muwe mnaelewaga na kisha mchukue hatua.. Sasa ona hapa... Mmeenda Arusha na matumaini kibao ya...
3 Reactions
11 Replies
141 Views
Asalaam Aleykhum Warahmatullah Wabarakatul....! Hii ni kwenu Makafiri mnaotuita "Wavaa Kobazi" Muislam unapovaa kobazi inakurahisishia kuvivua na kuchukua "UDHU" kirahisi hasa kama unaswali...
0 Reactions
15 Replies
16 Views
Wakuu habari za Jumapili, Kama kichwa cha thread kinavyosema, ile hali umemsimamisha msichana unamuomba namba halafu anakunyima, daa inaleta stress sana ila basi tu.
11 Reactions
104 Replies
2K Views
Huyu angekuwa enzi za zamani Angekula kichapo mpaka ajinyee
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
266 Reactions
163K Replies
4M Views
Mods, kwanini mmefuta huo Uzi? Hakuna swali la kijinga!! Tafadhalini sana, hata kama mnatumia hii kitu, acheni ijadiliwe🙏 SWALI: Ikiwa nguruwe ni HAYAWANI, ni sawa kutumia Kwa chakula? Karibuni 🙏
2 Reactions
54 Replies
231 Views
Mimi nina miaka 40 na ushee, miaka mitano iliyopita nilipata tatizo la kutokurudia tendo yaani nikipiga goli langu moja basi mpaka kesho. Sasa mwezi mmoja uliyopita limeibuka tatizo lingine...
4 Reactions
61 Replies
708 Views
Habari 1. Wengine wanasema kuna Mungu Baba, mwana na roho mtakatifu 2. Wengine wanasema Mungu mmoja 3. Wengine nasikia wanasema ana nafsi tatu Na je kama ana nafsi tatu kwa nini munamuabudu...
2 Reactions
54 Replies
322 Views
Naandika kwa mara ya nne. TAMISEMI kushirikiana na Wizara ya Afya nchini Tanzania walipata ufadhili na World Bank (WB) kuajiri watumishi wa afya ajira mkataba wa miaka mitatu. Wamejitahidi...
0 Reactions
13 Replies
167 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,758
Posts
49,583,869
Members
668,154
Latest member
mbalizi mbilinyi
Back
Top Bottom