Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mnakubali vipi Mzanzibari kuongoza Bara, Tuanze na Shaka hamdu Shaka mkuu wa wilaya ni Mzanzibari mbona Zanzibar hakuna mtanganyika anayeongoza?
14 Reactions
139 Replies
5K Views
Ni kawaida kwa taasis za serikali kukuta viongozi wote ni wakristo. Lakini ikitokea viongozi wa wili tu yaani mkuu wa taasiai na msaidizi wake ni waislami kelelwe nchi nzima. Nimemaliza.
1 Reactions
6 Replies
34 Views
Hivi mfumo wa kutuma maombi ya ajira jeshi la polisi ni kwangu tuu unasumbua ama na wengine mmekutana na changamoto hii?
2 Reactions
185 Replies
12K Views
Wadau mimi nimekuwa atheist kwa miaka 20...sasa nikiwa mdau mkubwa sayansi technology and fact ...scientific theories Nimekua nikiiona huruma sana jinsi dini ya ukristo inavusambaa kwa kasi...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Tyson Fury Amekumbana na kichapo katika usiku wa kuamukia Leo nchini Saudi Arabia huku Oleksandr Usyk akiwa bingwa wa kwanza wa ndondi wa mikanda minne ya uzito wa juu bila Kupingwa. Usyk...
1 Reactions
2 Replies
58 Views
Habari watu wa Mungu. Nimetokea kuvutiwa na mchungaji Irene kwakua anayaongea matukio halisi ya kibinadamu na uhusiano wa binadamu na Mungu. Wachungaji na manabii wengi wamekua ni waongo na...
16 Reactions
159 Replies
3K Views
Wakati nipo Ocean Road nikiwa TZ , nimefanya kazi na products mbalimbali kutoka vyuo tofauti, wapo wanafunzi kama intern wakiwa madaktari ambao we were training them, wengine wafamasia au nurses...
10 Reactions
80 Replies
943 Views
Naomba kuuliza app ikiwa ya bure inaingizizaje hela? Je mfano watu milioni 2 wame download app yangu na kuitumia..kila siku....naweza vuna kiasi gani?Kwa mwaka?...kutoka wwpi?
7 Reactions
48 Replies
791 Views
Hii ndio Habari mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa, kwamba yule Nesi Mwamba aliyehakikisha Lissu anaendelea kupumua amekutana na Tundu Lissu Jijini Dodoma. Pamoja na mengi yaliyozungumzwa kati...
41 Reactions
257 Replies
6K Views

FORUM STATS

Threads
1,855,013
Posts
49,648,195
Back
Top Bottom