Ifuatayo ndiyo orodha ya mikoa 10 bora ambayo :
Ambapo binafsi nimeipangilia kwa kuangalia
Upatikanaji wa chakula
Urahisi wa Usafiri
Elimu
Hali ya Hewa
Huduma za maji
Mitandao ya simu
Usalama...
Aliyesema kilimo ni uti wa mgongo au kale kamsemo ka mhenga kuwa kama mnataka mali mtayapata shambani aje Zanzibar. Hata ule msemo wa kwenye bible kuwa asiyefanya kazi asile aje Unguja atengue...
Huwa navutiwa sana ninaposikia Kibatala anamtetea mtu, nimeanza kukufuatilia kitambo sana uwezo wako kisheria na kweli umenifanya hata mimi nipende kusomea sheria, Wakili msomi Kibatala, mimi...
1. Wafanyakazi wanatema nyongo kuwa rais kakimbia hoja za kikokotoo Mei mosi.
2. Lisu anasema rais mzanzibari anaouza rasilimali za Tanganyika kwa wajomba zake waarabu.
3. Wanaccm wanalalamikia...
Lissu na timu yake ile inayotaka kujitenga CHADEMA (Msigwa na John), ni Wanufaika wa Muungano wa Zanzibar na Tanganyika, Wamesomeshwa na Matunda ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Nilishawahi kuwaonyeni wana CCM hapa hapa JamiiForums kuwa huyu Mtu ( Mtani wangu kutoka Singida ) Tundu Lissu Genius akiwa anatoa Makombora yake Kwenu ambayo ni mazito na yanahitaji Akili Kubwa...
Ni napenda n ninafurahishwa jinsi wasanii wetu walivyokuwa na inventive n innovative minds kwenye kuja n ideas mpya za music. Hii ngoma way back ya country, ni trap kama ckosei. At last nimeskia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.