Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Dah eti "kila mtu ana mshahara wake tusipelekeshane" ujinga sana huu wakuu. Sina mengi.
15 Reactions
57 Replies
916 Views
Ni changamoto gani sugu mnakutano nazo kuhusiana na swali zima la makazi? Je, mnakutana na ugumu wa kupata vyumba,nyumba,viwansehemu za kuishi n.k Niambie hapa chini kwenye comment ipi ni...
1 Reactions
2 Replies
51 Views
Hii maana yake ni kwamba, Kila jambo litakaloanzishwa na Chadema ndilo litakalojadiliwa, Chama kimekuwa na nguvu ya Ushawishi ya kutisha kwa sasa. Huu ndio muda wa kusukuma mbele Ajenda za Katiba...
9 Reactions
34 Replies
407 Views
Aliyekuwa Mtayarishaji wa Video za Muziki wa Bongo Flava Nchini, Khalfani Khalimandro amefariki Dunia Director Khalfani alilazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) akiwa...
8 Reactions
58 Replies
2K Views
wakuu kichwa cha habari kinajielza njooni mnipe program za kuflash simu nipo kijijini nijitafutie hela ya vocha hapa maana kuna changamto ya kuflash simu NAWASILISHA
0 Reactions
1 Replies
9 Views
Maisha yamempa kila mtu muonekano kupitia njia zake, njia ambazo zinajenga taswira ambazo ni hadithi tu, hadithi zinazo tukumbusha kutosahau mtazamo mkuu wa kuwa sisi ni binadamu Kupitia...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ndugu zangu nataka mtakasike. Amina Hakika nimeangukia kwa mtoto wa kinyiramba. Mwanamke ni mweupe soft kweli kweli, mrefu wa wastani ,nyusi, nywele na kope za kuvutia . Ana macho flani hivi ya...
6 Reactions
43 Replies
1K Views
Hali ni mbaya. Maji ni mengi mji wa Ifakara kwa 80% upo kwenye maji. Hasara ni kubwa haswa kwa wafanya biashara za hardware. Cement na gipsam zimeharibika kwa kiwango kikubwa. Kuna baadhi ya...
10 Reactions
78 Replies
2K Views
Makamu Mwenyekiti wa CCM anazungumza na waandishi wa habari na wanaCCM katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma. Kikwete anategemewa kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo kujibu shutuma mbalimbali...
5 Reactions
49 Replies
693 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
923 Reactions
1M Replies
40M Views

FORUM STATS

Threads
1,851,330
Posts
49,570,774
Members
667,864
Latest member
shumoli
Back
Top Bottom