Ni kweli kwamba maandiko yameweka wazi kwamba Mungu ni mwenye huruma lakini ikifika mahali anafanya hukumu (Maamuzi) katika kujibu maombi ya waja wake, Huruma haitumiki bali SHERIA yake ndio...
Wananchi wa kijiji cha Ndolezi kilipo kimondo maarufu cha Mbozi wamekuwa wakiishi hapo kabla ya wanasayansi kuthibitisha kuwa jiwe lile ni kimondo, hivyo kulipa jiwe hilo hadhi ya pekee...
Kutumia nambari za utambulisho zilizopo za raia wa Tanzania au vitambulisho vya uraia kupiga kura kwenye mtandao kunaweza kuwa chaguo zuri la kurahisisha mchakato wa upigaji kura na kupunguza...
Hii maana yake ni kwamba, Kila jambo litakaloanzishwa na Chadema ndilo litakalojadiliwa, Chama kimekuwa na nguvu ya Ushawishi ya kutisha kwa sasa.
Huu ndio muda wa kusukuma mbele Ajenda za Katiba...
Hili ni bandiko la utabiri,
Hii tume haina maisha marefu, serikali itaibomoa kabla ya mwaka 2030.
Ujio wa NIDA umeleta changamoto kwa NEC sababu kitambulisho cha mpiga kura hakina matumizi...
Wakuu kwa wale wapenzi wa Isidingo tuliipenda sana lakini hakuna kisicho na mwisho. Hivyo kwa sisi wafuatiliaji wa ITV wameamua kutuletea tamthilia mpya ya Uzalo, japo sina hakika kama ni mpya...
Makamu Mwenyekiti wa CCM anazungumza na waandishi wa habari na wanaCCM katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma. Kikwete anategemewa kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo kujibu shutuma mbalimbali...
Huwa unamfuta mwenzako au mkishamaliza kila mtu atajijua.
Hujui kumfuta mwenzako ni kitu kizuri, unaishika unaingeuza huku na huku ukimfuta akiwa ametandaza miguu yake au amenyoosha miguu yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.