Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wiki mbili za Tundu Lissu kufanya maandamano Takribani Mikoa 6 mfululizo zimeacha Madhara makubwa. Madhara hayo ni kufungua Wananchi kuhusu maswala mbali mbali ikiwemo Uchaguzi, Katiba Mpyaz...
2 Reactions
24 Replies
285 Views
Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini,pale coco beach. Kipindi nasoma nna kama miaka 17 nliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo,usawa wa magoti...
17 Reactions
97 Replies
1K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
513K Replies
29M Views
Nipo kwenye mahusiano na mlimbwende mmoja (mchepuko); ambaye ameamua kuwa na mimi pale mama watoto anapokuwa mbali nami kijiografia. Nimekuwa nampa shoo za ukweli mara kwa mara, na hii...
13 Reactions
40 Replies
1K Views
Tukiwa tunaelekea mwishoni mwa misimu ya ligi mbalimbali za mpira wa miguu duniani, huu ni uzi maalum wa kuhabarishana, kuzitambua, kutoa pongezi na kuzikaribisha timu zilizofanikiwa kupanda...
1 Reactions
2 Replies
44 Views
Mara kadhaa Chadema wamekuwa wanawadanganya watu wasioelewa kwamba eti Katiba Mpya ndio muarobaini wa Rushwa na Ufisadi licha ya kina Bob Wine kuwapa somo kwamba jambo Hilo linategemea uadilifu wa...
2 Reactions
118 Replies
717 Views
Saikolojia ya mapenzi kwa dakika chache bila kukuboa. Binadamu tunaishi kujifunza na kutumikia matamanio ya miili yetu hasa starehe ya mapenzi. umaarufu and power ni nyongeza hisio ya msingi sana...
4 Reactions
41 Replies
414 Views
Leo kanisani nilikuwa na Kigogo mmoja wa UVCCM mkoa wa Pwani ambapo alinipa ABC za vita yao na mwanamitandao Mange Kimambi. Jamaa ameniambia mwaka huu lazima mwadada huyo aombe msamaha rais na...
2 Reactions
20 Replies
409 Views
Leo hii kuna ajali imetokoe huko. Misungwi ambapo bodaboda zinazodaiwa kuwa katika mwendo wa kasi zimegongana na waliokuwa kwenye hizo pikipi kuungua moto vibaya sana ingawa wanacnhi waliwaokoa...
1 Reactions
11 Replies
50 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,361
Posts
49,571,551
Members
667,904
Latest member
kipscalich
Back
Top Bottom