Tuliosafiri ndio tunafahamu kuhusu upatikanaji wa chakula nchi za nje.mfano tu ukifika china ,japan,india,usa,south africa na n.k utaona sehemu nyingi biashara ya chakula ilivyopamba moto...
Makamu Mwenyekiti wa CCM anazungumza na waandishi wa habari na wanaCCM katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma. Kikwete anategemewa kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo kujibu shutuma mbalimbali...
Kama ni mfatiliaji mzuri wa hip hop, nadhani Utakuwa umesha Iona hii.
Ila Kama bado, story Ina anzia Mwaka Jana ambapo drake na j Cole wali toa ngoma Ina itwa first person shooter.
Humo ndani j...
Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini,pale coco beach.
Kipindi nasoma nna kama miaka 17
nliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo,usawa wa magoti...
Tofauti kabisa na kina Malisa GJ, Maria Sarungi au Martin Maranja ambao hawana kabisa uvumilivu kwa yeyote atakayekuwa kinyume na mawazo yao hawa wanaJF wanapaswa kutunukiwa tuzo za uvumilivu kwa...
Kindly refer to the heading above..
Na hii sio mwanamke wako tu, hata yule ambaye unamtaka. Kwa mfano; [emoji116]
Money transfer successful! TSH 200,000.00 was sent to NMB Bank account no...
WATANI ZANGU SOMENI SHULE KAMA SISI KUONDOA MILA HIZI POTOFU
Mila ya ‘kumaliza msiba’ ni miongoni mwa mila kandamizi zinazoendelea katika baadhi ya makabila mkoani Mara inayotweza utu wa...
Huyu jamaa ni shida..... Ameshindikana. Kila mtu amejaribu lakini kashinwa. Fatma kanyamaza kabisa baada ya kujibiwa na Lissu. Kimefanyika kikao kujadili hoja zake wakaamua kumtuma Kinana. Naye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.