Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
923 Reactions
1M Replies
40M Views
Nilipitia uzi uzi flani humu unaitwa "Teknolojia ya usb 2.0 imepitwa na wakati, wafanyabiashara wetu wametugeuza kuwa dampo la kupigia pesa, jitahidi ununue bidhaa za usb 3.0 na kuendelea" Ndipo...
0 Reactions
4 Replies
74 Views
Leo hii kuna ajali imetokoe huko. Misungwi ambapo bodaboda zinazodaiwa kuwa katika mwendo wa kasi zimegongana na waliokuwa kwenye hizo pikipi kuungua moto vibaya sana ingawa wanacnhi waliwaokoa...
5 Reactions
32 Replies
516 Views
Kuna haja kwa kipindi hiki kuangalia katiba zetu upya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hairuhusu Rais aliyopo madarakani au kustaafu kushtakiwa kwa kosa lolote lile Je siku akitokea...
4 Reactions
21 Replies
287 Views
  • Sticky
Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies. Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza...
68 Reactions
23K Replies
2M Views
Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza. Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira. Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel...
24 Reactions
320 Replies
3K Views
Ukiangalia kwa makini watu wenye asili ya kigoma ni kwamba utagundua kuwa ni so innovative, brilliant, akili kubwa na ndo wana run tanzania hii. Mfano. Ali kiba Diamond platnumz Haji manara...
2 Reactions
22 Replies
349 Views
Hizi mbinu ninazo wapa haimaanishi kwamba mimi binafsi nimezitumia au nilishawahi kuzitumia ila hii inatokana na uzoefu wangu mdogo humu jamvini Kwakuwa wanawake wanapenda mambo mazuri basi...
24 Reactions
178 Replies
3K Views
Lissu ni kijana wa mjini na amefanya siasa nyingi za hoja na za hovyo akiwa Bungeni na sasa majukwaani. Kwa mtazamo wangu haya ndio majina ya wanachama 3 wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu...
4 Reactions
88 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,435
Posts
49,574,215
Members
667,938
Latest member
Regina Minja
Back
Top Bottom