Kuna haja kwa kipindi hiki kuangalia katiba zetu upya
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hairuhusu Rais aliyopo madarakani au kustaafu kushtakiwa kwa kosa lolote lile
Je siku akitokea...
Lissu ni kijana wa mjini na amefanya siasa nyingi za hoja na za hovyo akiwa Bungeni na sasa majukwaani.
Kwa mtazamo wangu haya ndio majina ya wanachama 3 wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu...
Mkuu wa Mkoa wa kusini Unguja Visiwani Zanzibar, Ayoub Mohammed Mahamoud, ametangaza uamuzi mpya wa kuwapatia Wafanyakazi wa Ofisi yake chai ya asubuhi ikiwa na kitafunwa cha mikate wenye siagi...
Kati ya hizi simu ipi itafaa
Nokia G20_128gb 6 ram
Vivo v20_ 128 GB 6 ram
Redmi pocco X3 _128GB 6 ram
Redmi note 12 5g_ 128gb 6 ram
N.B zote nimeangalia features zake zaidi ipi iko vizuri...
Moja kwa moja kwenye mada…
Huyu rafiki yangu alinitongoza sana. Yani miaka 3 straight anafukuzia tu, nipe nipe..
Mapenzi game la nyoka bwana, nikaachika huko. Nikasema nimpe chance huyu mgaagaa...
Kwa hatua iliyofikia inabidi Lissu akubaliane na hali au ahame chama. Iko wazi kuwa Mbowe kamtumia Lema kufikisha ujumbe kwa Lissu. Na Lema kafanya vizuri sana kutamka kuwa kulikuwa na mashahidi...
Match Day
NBC Premier League
Mashujaa Vs Yanga
Lake Tanganyika Stadium
Leo majira ya saa kumi jioni timu ya Mashujaa kutoka Kigoma itacheza na wageni wao timu ya Yanga kutoka Dar katika mechi ya...
Ukiangalia kwa makini watu wenye asili ya kigoma ni kwamba utagundua kuwa ni so innovative, brilliant, akili kubwa na ndo wana run tanzania hii.
Mfano.
Ali kiba
Diamond platnumz
Haji manara...
Kwa kasi hii ya Dunia I hope 50 yrs later wanaume ndio watakuwa wanachumbiwa na kuolewa na wanawake.
Ile mamlaka ya Kiungu na kiuongozi ndani ya mwanaume inapotea taratibu.
Inafika wakati sms tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.