Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Moja kwa moja kwenye mada… Huyu rafiki yangu alinitongoza sana. Yani miaka 3 straight anafukuzia tu, nipe nipe.. Mapenzi game la nyoka bwana, nikaachika huko. Nikasema nimpe chance huyu mgaagaa...
69 Reactions
299 Replies
6K Views
Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza. Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira. Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel...
24 Reactions
284 Replies
3K Views
Sikiliza Afande Sele alivyowashukia CHADEMA hapa
16 Reactions
121 Replies
3K Views
Wanakumbi. MAMLAKA ZA ISRAEL WAVAMIA SHEREHE ZA KANISA HUKO YERUSALEMU Matukio ya machafuko leo wakati wa sherehe za kila mwaka za Moto Mtakatifu. Mamlaka iliwakamata maafisa wa usalama wa...
2 Reactions
26 Replies
421 Views
All the Best Mnyama mkali. Tukutane saa 10jioni kwa saa za Afrika Mashariki (EAT) Simba ya Dar es Salaam itashuka Dimbani, Uwanja wa Ziwa Tanganyika kuwavaa wenyeji wao Mashujaa FC. Simba kwenye...
13 Reactions
267 Replies
13K Views
Leo baada ya kuona video ikionesha madhara ya kimbunga Hidaya ndio nikajiuliza hivi kisiwa cha Mafia kwa shughuli za Serikali kila siku zinazofanyiwa kikazi upande wa Mafia mbona kama ni kimya...
4 Reactions
26 Replies
971 Views
Kindly refer to the heading above.. Na hii sio mwanamke wako tu, hata yule ambaye unamtaka. Kwa mfano; [emoji116] Money transfer successful! TSH 200,000.00 was sent to NMB Bank account no...
55 Reactions
542 Replies
7K Views
Makamu Mwenyekiti wa CCM Abdulrahman Kinana anazungumza na waandishi wa habari na wanaCCM katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma. Kinana anategemewa kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo kujibu...
10 Reactions
146 Replies
4K Views
Kuna binti alikuwa na ujauzito wangu. Alitarajiwa kujifungua December hii (makadirio yalikuwa tar. 7). Nimeona muda unazidi kwenda kimya nikauliza akaniambia mimba ilitoka mwezi wa 9. Sina...
8 Reactions
115 Replies
3K Views
Match Day NBC Premier League Mashujaa Vs Yanga Lake Tanganyika Stadium Leo majira ya saa kumi jioni timu ya Mashujaa kutoka Kigoma itacheza na wageni wao timu ya Yanga kutoka Dar katika mechi ya...
13 Reactions
119 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,417
Posts
49,573,260
Members
667,935
Latest member
Regina Minja
Back
Top Bottom