Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nina jamaa zangu wa makabila haya kwakweli kusoma chats zao huwa ni mateso sana. Wenzangu mmewahi kumbana na hili? Unaweza weka screenshot bila kuonesha namba au jina la mhusika.
5 Reactions
51 Replies
370 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
923 Reactions
1M Replies
40M Views
Mnakumbuka tulisajiri kipa kutoka America kusini ligi daraja la nne, uto na viongozi wao waliongea sana hatimaye akaenguliwa. Wenzetu wapo vizuri kwenye kutumia udhaifu wa mpinzani, ila kwetu...
4 Reactions
31 Replies
367 Views
Great Thinkers, Baada ya kuisoma makala hii ya Absalom Kibanda Mhariri Mtendaji wa Tanzania Daima, nimejikuta napata mashaka sana na zaidi kupoteza imani na uzalendo wake. Pia nimejikuta...
16 Reactions
478 Replies
39K Views
Habar Ya mchana JF nimewaletea Elimu Ya Kujifunza hapa. ELIMU YA BURE: FAHAMU KUHUSU MAREKANI KASKAZINI, MAREKANI KUSINI, USA, NA JIMBO LA ALASKA...
1 Reactions
1 Replies
17 Views
Makamu Mwenyekiti wa CCM anazungumza na waandishi wa habari na wanaCCM katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma. Kikwete anategemewa kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo kujibu shutuma mbalimbali...
8 Reactions
72 Replies
1K Views
Mara kadhaa Chadema wamekuwa wanawadanganya watu wasioelewa kwamba eti Katiba Mpya ndio muarobaini wa Rushwa na Ufisadi licha ya kina Bob Wine kuwapa somo kwamba jambo Hilo linategemea uadilifu wa...
2 Reactions
96 Replies
668 Views
Wananchi wa kijiji cha Ndolezi kilipo kimondo maarufu cha Mbozi wamekuwa wakiishi hapo kabla ya wanasayansi kuthibitisha kuwa jiwe lile ni kimondo, hivyo kulipa jiwe hilo hadhi ya pekee...
10 Reactions
31 Replies
441 Views
Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini,pale coco beach. Kipindi nasoma nna kama miaka 17 nliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo,usawa wa magoti...
14 Reactions
46 Replies
552 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,346
Posts
49,571,067
Members
667,861
Latest member
shumoli
Back
Top Bottom