Hali ni mbaya. Maji ni mengi mji wa Ifakara kwa 80% upo kwenye maji.
Hasara ni kubwa haswa kwa wafanya biashara za hardware. Cement na gipsam zimeharibika kwa kiwango kikubwa.
Kuna baadhi ya...
Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae...
Salama Wakuu?
Watu walitabiri na kutabiri mara Kikeke anaenda TBC, mara anaenda Wasafi, mara atalamba teuzi za Rais Samia akaungane na Zuhura, sasa kutabiri kumeisha, Kikeke huyooo kwa CROWN...
Slogani yetu sisi wakurya "Tunataka watu,na kitanda hakizai haramu "
Nashangaa mdada unateseka huko uliko kisa huna mume na huwezi kuolewa kisa una watoto wako uliozaa na mwanaume mwingine huku...
Ni kuwapa tu taarifa kwamba Rais Samia alihudhuria kikao muhimu Cha IDA taasisi ya World Bank nchini Kenya
Kikao hicho muhimu kilihudhuriwa na Wakuu wa Nchi 17 za barani Africa
Credit: Mkuu...
Hii Tanzania imegawanyika Katika Kanda mbalimbali, Kanda ya ziwa, Pwani, kusini, kaskazini.
ILA Chá ajabu inaonekana watu wa Kanda ya kaskazini mashariki ni weupe sana na wanang'aa sana, pía wa...
Wananchi wa kijiji cha Ndolezi kilipo kimondo maarufu cha Mbozi wamekuwa wakiishi hapo kabla ya wanasayansi kuthibitisha kuwa jiwe lile ni kimondo, hivyo kulipa jiwe hilo hadhi ya pekee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.