Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Aliyesema kilimo ni uti wa mgongo au kale kamsemo ka mhenga kuwa kama mnataka mali mtayapata shambani aje zanzibar.hata ule msemo wa kwenye bible kuwa hasiyefanya kazi asile aje unguja atengue...
3 Reactions
29 Replies
348 Views
Tofauti kabisa na kina Malisa GJ, Maria Sarungi au Martin Maranja ambao hawana kabisa uvumilivu kwa yeyote atakayekuwa kinyume na mawazo yao hawa wanaJF wanapaswa kutunukiwa tuzo za uvumilivu kwa...
22 Reactions
68 Replies
1K Views
Zilikuja mafia kuvua boti za fery dar mpaka sasa bila bila huku watu wa fery poleni
0 Reactions
5 Replies
6 Views
Moja ya hoteli ambayo ni alama katika mji kasoro bahari wa Morogoro ambayo ilianza kazi tangu mwaka 2007 imeingizwa sokoni. Wenye nia ya kununua wanatakiwa kuwasilisha pendekezo lao kabla ya May...
8 Reactions
80 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar bwana Abbas Mtevu amewataka wajumbe wenye dhamana ya kupitisha wagombea wa Ubunge na udiwani kupitisha wagombea ambao wanakubalika Kwa Wananchi vinginevyo...
2 Reactions
11 Replies
86 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
220K Replies
16M Views
Nyerere aliona mbali sana si ajabu kusingekuwa na muungano tungalikwisha pinduliwa zamani au kuvamiwa na maadui kupitia kisiwa cha Zanzibar. Kumbukeni Nyerere hakuwa mjinga kama mnavyofikri hasa...
3 Reactions
51 Replies
927 Views
Huwa unamfuta mwenzako au mkishamaliza kila mtu atajijua. Hujui kumfuta mwenzako ni kitu kizuri, unaishika unaingeuza huku na huku ukimfuta akiwa ametandaza miguu yake au amenyoosha miguu yake...
7 Reactions
68 Replies
957 Views
Rwanda Kupitia bwana Paulo Kagame imeendelea kuipapasa na kuiparura DRC Kwa namna tofauti ikiwemo kufanya Mauaji ya kiholela,kuteka Miji na Vijiji na kupora Mali Kupitia tawi la M23 lakini wababe...
1 Reactions
2 Replies
3 Views
Wapo watu (Space Brothers) wanasema value system ya NHIF yetu ni all wrong. "It does not follow the value system of National Insurance in general". Kwa hiyo there is the suggestion kwamba NHIF is...
2 Reactions
13 Replies
305 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,248
Posts
49,567,947
Members
667,843
Latest member
madoree
Back
Top Bottom